Mtoa mada umenikumbusha niko chuo room mate wangu akapewa taarifa mama ake amejifungua. Ikabdi aseme hili tukampongeze, tulipatwaje na mshangao. Wamama kama sio kwa matatizo basi tujitahid kuzaa kwa wakati, vinginevyo ndo kuwatia wanetu aibu.
Bwana anasema, "Do not regret growing older, it is a privilege denied to many." All you need to do is to thank, pray more and worry less! Kukosa vichache ambavyo jamii fulan inaviona vya msingi isikukatishe tamaa. Mungu anakupenda sana tena sana na ndo maana upo hadi leo.
kifungo cha maisha ambako retreat hairusiwi. Nahaidi kumpenda ktk shida na raha, magonjwa na afya, umaskn na utajiri whle kwngne waweza ukaumwa tuu muda mrefu mchumba/mpenz akasepa.
Ukichunguza mtaani kwenu (huku kwetu kuache nshakusaidia) watu wenye maisha mazuri wawe wa kike/kiume hawakimbilii kuolewa/kuoa.
Nikiangalia marafiki nao hivyo hivyo. Kilchonstua zaidi hata ushauri wa wazazi kwa pande mbili nao unatofautiana wazazi wenye uelekeo wanaowaza future utakisia...
Hili ombi huwa naliomba kwa Mungu kila cku, nashangaa kwann halifki. Labda kwa vile naomba kwa kbantu, huenda malaika bado wanatafsiri. I'll be mo happy en secure wth a man lyk my lovely dad. Ingawa cku hiz ni kama wameisha...wamebak magumegume.
Muungano oyeeee! Nawaza faida tuu hapa, tukianza na hii inayoleta wikiend ndefuu! Full kujmwaga na uwapendao from this Furahday 2 Mandei. Wah reserveishen nafas ni chache....! Happy Mapinduz day, nawah folen bse zile za SILISIMAS na mwaka MUPYA niliwahwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.