Siku hiziii hakuna cha kutishaa jeshini especially jkt kwa mafunzo ya awali,maana kule siku hizi ni course za maelekezo na kikubwa ni uzalishaji mali lkn TPDF kulee ndo watuu wanasandaa kule ndo kma ulikuwa lelemamaaa jkt hukuu aaaah utasandaaa tuu,kule no uzalishaji Mali ..but ukifunguaa moyo...
Nilikuwa mpenzi wanguu ambaye tumebahatika kupata mtoto mmoja,mwenye umri Wa miaka miwili na miezi mitano sasa,lkn hivii karibuni niliaachana na mama wa mtoto huyuu lkn mtoto yupo naee ilaa amempeleka kwa ndugu yake na yeye anaishi mwenyewe na nilipomwambiaa kuwa mm namuomba huyooo mtoto nimlee...
Umenenaaa vyemaa bro lkn tambuaa piaaa zoezi lenyewee ni gumu sanaa hilooo vitambulishoo tuu vyenyewe vya uraia watu wengnee walishapigwa na picha lkn mpaka leoo badoo havijatokaa means process zakee ni ndefuu sanaa hadii kikamilikee,so inahitajii mudaa Wa kutoshaa na fedha za kutosha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.