Recent content by mpogorohalisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakimu Minja wa Mahakama ya Mwanzo Ifakara ajitafakari

    Kabisa tunaambiwa saa 2 tunaanza saa 8
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakimu Minja wa Mahakama ya Mwanzo Ifakara ajitafakari

    Mpaka tunakoma aisee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakimu Minja wa Mahakama ya Mwanzo Ifakara ajitafakari

    Hapa Ifakara Kuna HAKIMU anaitwa Minja ni mwanamama mwenye dharau sana. Anawatangazia watu waje saa mbili asubuhi yeye anakuja saa 5 alafu akifika anakaa ofisini Hadi saa 9 ndio mnaanza kuitwa majina anahudumia mtu mmoja wengine wote mnapigwa tarehe nyingine. Na muda ni uleule saa mbili na yeye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF Morogoro meneja amesafiri na ofisi?

    Wakuu Leo nimetoka NSSF Morogoro baada ya tarehe 28/5 kujibiwa vibaya na muhudumu wa reception kuhusu mafao yangu ambayo sasa yanamaliza mwezi na nusu. Baada ya kukomaa sana waliniambia meneja amesafiri! Leo nimerudi majibu ni yale yale. Je ni kweli meneja akisafri na ofisi haipo? Ikiwa rais tu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF ni wababaishaji kwa wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini

    Malipo ya mkupuo baada ya miezi 18 lazima uandike barua ya kuomba kibali Cha kulipwa Kwa mkupuo
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF ni wababaishaji kwa wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini

    Malipo ya mkupuo baada ya miezi 18 lazima uandike barua ya kuomba kibali Cha kulipwa Kwa mkupuo
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF ni wababaishaji kwa wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini

    Unaenda ila ndo utazungushwa Hadi ukome
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF ni wababaishaji kwa wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini

    Malipo ya mkupuo baada ya miezi 18 lazima uandike barua ya kuomba kibali Cha kulipwa Kwa mkupuo
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF ni wababaishaji kwa wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini

    Malipo ya mkupuo baada ya miezi 18 lazima uandike barua ya kuomba kibali pamoja na kiapo
  10. M

    JamiiForums Tanzania NSSF Wanakaribia kuvunja ndoa yangu

    Nimefungua madai ya kulipwa mafao yangu baada ya miezi 18, nimefungua tarehe 23/4/2026. Nilipofika nikaambiwa malipo ni ndani ya mwezi mmoja tu. Baada ya hapo tarehe 1/5 nikakopa kwa riba laki 3 ili niweze kujikimu na familia, nikiamini tarehe 1/6 ntakuja nimelipwa. Cha ajabu tarehe 23/5...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF ni wababaishaji kwa wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini

    Nssf wamekua wababaishaji sana hasa kwa watu wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini. Mimi ni muhanga wa jambo hili, nimeandika barua tangu tarehe 4/5/2026 branch ya Morogoro. Ajabu ni kua wanasema barua Yako na kiapo havionekani kwa hiyo nitafute vingine. Kabla nimekuwa nilipiga simu...
Back
Top Bottom