Recent content by MpitanjiaMzalendo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Clinton aacha kilio bungeni Dodoma, Naibu Spika na wabunge wanawake waguswa zaidi kushindwa kwake

    1 Timotheo 2:12-14 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu. Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye. Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utakuja jutia, usioe msichana mliekutana ukubwani especially miaka 25+

    Mi mwenyewe nayakuta hayo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utakuja jutia, usioe msichana mliekutana ukubwani especially miaka 25+

    Hahaha!!....unaongea ukweli mtupu,hasa hawa wa karne hii ya dotcom
  4. M

    JamiiForums Tanzania SATAN: The world's most powerful nuclear warhead unveiled this week by RUSSIA

    Putin sio mtu wa mchezo mchezo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maonyo kwa mwanaume kuhusu mwanamke kutoka kwenye biblia

    Angalia mfano tu viongozi wa hii nchi walivyopelekeshwa na wanawake.....wako wap sasa,wanajulikana tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maonyo kwa mwanaume kuhusu mwanamke kutoka kwenye biblia

    Huo namba mbili.....so very educative
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ninapenda wanaume wanaojali usafi wa mwili na kinywa

    Mimi ni mwanaume......naelewa ukali wa harufu wa jinsia zote......believe me,ya kike hupumui mpaka ukae mbali nae
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ninapenda wanaume wanaojali usafi wa mwili na kinywa

    Hamna harufu mbaya nayoichukia kwa dem kama ya K isiyosafishwa.....mm hata awe ana lipa vp
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ninapenda wanaume wanaojali usafi wa mwili na kinywa

    Hahaha!!....sawa mpelekeshwaji....ngoja mi niendelezee u Fidel Castro wangu kwao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maonyo kwa mwanaume kuhusu mwanamke kutoka kwenye biblia

    Lipo Agano la Kale.....pitia vizuri utaona
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ninapenda wanaume wanaojali usafi wa mwili na kinywa

    Povu la wapi kiongozi.....Feminism inaharibu hiki kizazi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maonyo kwa mwanaume kuhusu mwanamke kutoka kwenye biblia

    Yoshua Bin Sira.....Ok!Ungelikamilisha tu mkuu
Back
Top Bottom