Serikali nayo iache kufisidi uchumi wa nchi. Kama wao wanatumia pesa hiyo kununulia magari yenye thamani kubwa sana ya hdi tsh. 500,000,000 kwa gari moja na wanatoa kwa kila waziri, kila katibu na manaibu katibu wakuu, wakurugenzi, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakuu wa taasisi za serikali...