Recent content by Mpiluka prosper

  1. Mpiluka prosper

    Je, umewahi kutokewa na hii kitu?

    Basi moyo huwa unafail kwa kukosa oxygen ya kutosha hivho ubongo huushitua mwili kwa nguvu Mfno zile pasi za mahospitalini
  2. Mpiluka prosper

    Why I don't go to church

    Tunapeana uhuru wa kifikra na kujifungua na maagano ambayo yanatupa hofu tu
  3. Mpiluka prosper

    Why I don't go to church

    Mababu wa kale hawakuamini katika dini za kuletewa
  4. Mpiluka prosper

    CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

    Yah naona umewapa kijembe Cha kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mpiluka prosper

    CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

    CCM Kama chama dola kilipaswa kuwacha atumikie hukumu mwanachama wao iliwe funzo kwa wanachama wengine pia waonyeshe kuchukizwa na uvunjifu was kanuni na Sharia za nchi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mpiluka prosper

    CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

    Kwa maelezo ya viongozi wa CHADEMA wamesema wanalipa faini ili wakitoka waanze mchakato wa rufaa. Tumeona pia CCM wamefanya hivyo kwa mwanachama wao mpya Dkt. Mashinji kwa kumlipia faini. Je, viongozi wa CHADEMA wakikata rufaa, CCM watashangilia ushindi endapo Mahakama ya Juu ikitengua hukumu...
  7. Mpiluka prosper

    Why I don't go to church

    Yah serious baada tu ya mfalme Constantine wa rumi kuamua kuanzisha hii biashara ya imani
  8. Mpiluka prosper

    Why I don't go to church

    They came for business Muslim was only reason for them to be safe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mpiluka prosper

    Why I don't go to church

    Nitakitafuta hicho kitabu mzee Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mpiluka prosper

    Why I don't go to church

    Biashara ambayo haijawahi kuyumba biashara ya imani Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mpiluka prosper

    Je, umewahi kutokewa na hii kitu?

    Kwahiyo ni moja ya dalili za kisukali Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mpiluka prosper

    Why I don't go to church

    Kwa wale ambao mwaamini katika haya madhehebu ya kuletema mnaamini katika nn Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mpiluka prosper

    The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

    Leta ushahidi Kama yesu ni mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mpiluka prosper

    Why I don't go to church

    After they discover the glory of Africa they set down in Berlin the capital of German and casted lots dividing us amongst themselves. They came and using religion (Catholic, Anglican, Methodist, Pentecostal, etc) as a fore runner they store our minerals in exchange of sugar, needles and...
  15. Mpiluka prosper

    Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

    Wazungu waliipata huko na kumodify ya kwao https://face2faceafrica.com/article...e-is-in-ethiopia-and-was-handwritten-in-a-day
Back
Top Bottom