Recent content by Mpenzi Mwehu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kama mji wako haupo hapa , kojoa ukalale [emoji23]
  2. M

    JamiiForums Tanzania "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

    Mtu anaulizwa pungufu la mkataba yeye anataja faida zake utamuelewa huyo? [emoji23]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Njooni mchukue ndugu zenu huku wamezidi kuomba omba
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Sawa myatafutie na wapangaji sasa [emoji1787][emoji1787]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    ChoiceVariable unajihangaisha bure , Mwanza ni Jiji kubwa hapa TZ lina Manispaa mbili , utahangaika sana na kupost sana project za serikali , Mwanza hawategemei serikali , ngoja nikupe mfano : kwanza Brazil mji mkuu wao ni Brasilia umejengwa kiserikali ila maisha yapo Rio de Janeiro na Sao Paulo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Jana kwenye mkutano na wafanyabiashara Kariakoo , Waziri Mkuu kamaliza hili , kataja majiji yote , hakuitaja Dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]. Dodoma ni kimji tu , labda washindane na Kahama huko
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Mwanza imekuwa major city hapa Tanzania kwa muda mrefu , so kuilinganisha na Dodoma ambayo imepewa hadhi ya city politically sio sawa, Mwanza shughuli zake kiuchumi zinaibeba , ndio mji mkuu kibiashara kwa ukanda huu wa maziwa makuu , so Dodoma bado sana , Huwezi kutoka Mwanza ukaenda kutafuta...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

    Hii nchi vunja amri zote za Mungu ila usivunje amri ya kumi na moja [emoji116] 11. Thou shall not be caught
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoka kupokea wageni

    On point
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimebaki na elfu 4 tu kwenye m-pesa naona aibu kwenda kwa wakala kuitoa

    Njaa haijakushika vizuri , mbona hata buku unatoa fresh tu !
Back
Top Bottom