Recent content by MpendaNchi1

  1. M

    JamiiForums Tanzania 'Viongozi wastaafu fikirini kama Plato'

    Na. Mwandishi Maalum Siasa chafu, za chuki na fitina zimetakiwa kusitishwa Afrika ili bara hilo liweze kupiga hatua za kimaendeleo. Siasa hizo zinazoripotiwa miongoni mwa wanasiasa vijana na wakongwe kwenye majukwaa na vyombo vya habari, wanaharakati mitandaoni na baadhi ya viongozi wa dini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tumepoteza misingi iliyowekwa na waasisi, ipi hasa?

    Dkt. Samia Suluhu Hassan anaungana na waasisi wa fikra za Uafrika wa bara hili – akina Mwalimu Julius K. Nyerere, Kwame Nkrumah, Kenneth Kaunda, Nelson Mandela na wengine – kwa kuchora taswira ya uzalendo na mshikamano kwa mtazamo mpya unaozingatia mazingira ya sasa. Anaamini katika mikakati ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi Kuhusu Awamu za Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kuna jambo ambalo watu wengi hawaelewi vizuri — kwamba dhana ya Awamu katika tafsiri ya kisiasa inahusiana moja kwa moja na mtu binafsi, yaani Rais aliyepo madarakani katika kipindi husika. Kwa bahati nzuri, wakati Mheshimiwa Rais alipokuwa akizindua DIRA 2050, alieleza kwa ufasaha mchango wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Afrika, Waafrika wajiulize kulikoni

    Alhuda Newspaper 17/07/2025 Afrika, Waafrika wajiulize kulikoni • Uzalendo umeondoka, kutumiwa kumetamalaki, uzezeta unachomoza • Utovu wa nidhamu, chuki, ubaguzi miongoni mwa vijana na wazee, mila na desturi hatarini • Wako wapi Nyerere, Kwame Nkrumah, Kaunda, Mondlane, Samora...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wana ndoa na wasio na ndoa, kwa waamini, waumini na wasio na dini

    Heri ya mwaka mpya nyotee!!!! Aina tatu za ndoa 1. Kuoana kwa sababu huyu anataka kuoa na yule anataka kuolewa, wakakutana kwa haja hiyo. Kinachowakutanisha ni hiyo haja. Ikishatimia kila mtu na lake na nyumba inakuwa sehemu tu ya makutano. Penzi halipo. Mama akiwa wa nyumbani, Hana habari ya...
Back
Top Bottom