Recent content by MpendaAmaniTz

  1. MpendaAmaniTz

    Tabora: Atapeliwa saa ya Milioni 1 na mganga wa kienyeji

    Safi sana mkiambiwa muokoke kwa Yesu Kristo hakuna fedheha kama hizo hamtaki! Bado mnang'ang'ania uchawi na ushirikina! Wajinga ndio waliwao!
  2. MpendaAmaniTz

    Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

    Acha upotoshaji! kila kitu mnachukulia siasa mbaka misiba ya wazazi wenu mnaifanyia siasa! This is wrong!
  3. MpendaAmaniTz

    Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

    Pole sana ndugu ila haya maswali yote ulipaswa kujiuliza kabla hujaamua kuwekeza pesa zako humo.
  4. MpendaAmaniTz

    Arusha: Mtoto wa miezi 9 alawitiwa na Baba yake mzazi hadi kufariki dunia

    Mpokeeni a Mpokeeni Bwana Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yenu mjiepushe na uovu.
  5. MpendaAmaniTz

    NETO punguzeni jazba: Tusiingize siasa kwenye elimu, tuache interview iamue nani aajiriwe

    Hata mimi nashangaa kwanini walimu hawataki interview wakati kada zingine zote tunafanya interview kabla ya kupata ajira.
  6. MpendaAmaniTz

    Until we meet again in paradise, bye!

    Jesus loves you! Don't do that what you're trying to do!
  7. MpendaAmaniTz

    Fursa/ kazi watu wanapiga pesa ndefu na hazijastukiwa na wengi

    Hapo kwenye upishi na ufundi simu nakubali 💯 kwa 💯.
Back
Top Bottom