Matumizi yetu tuyajua HAWA jamaa wezi. Kutoka GB 10 ndani ya siku 5 nimebakiwa na GB 3 na sina matumizi makubwa.
Huko nyuma GB 10 nilikuwa natumia mwezi mzima mpaka nawarudishia zilizobaki.
Baada ya taarifa za kinachodaiwa uvamizi wa clouds media kuwa mkubwa, Nape kama waziri mwenye dhamana aliwaomba waandishi watulie na yeye atadhuru clouds media. Hapa alikuwa sahihi kabisa.
Baada ya kutembelea clouds media na kusikia aliyoambiwa, tena maelezo ya upande mmoja Nape alitoa tamko...
Njaa mbaya. Wasaka tonge wanaangaika kumsafisha LOWASA.
Ishu hapa; kwa takribani miaka 7 saba sasa hii hali na kasi MPYA ya kutafuta ushahidi wa ufisadi Wa LOWASA ilikuwa wapi???
LOWASA anajinadi mtu wa maamuzi magumu. Swali langu.
1.Watanzania tulikaa gizani kwa miezi 6 tangu kusainiwa kwa mkataba wa Richmond.
2. Kipindi chote cha miezi 6 ya mkataba Richmond haikutekeleza chochote cha mkataba.
3. Mbaya zaidi Richmond walishindwa hata kuleta hata msumari nchini
4...
Jana nilishangaa sana nilipomuona akiwa na wale aliowahita mafisadi papa.
Mbaya zaidi fisadi papa siku hizi wamekuwa watetezi Wa wanyonge akiwemo Mengi.
Wana Jamvi,
Napata mashaka na hii Collabo ya Mh Lowasa. Inakuwaje wale wote wenye kashfa nzito wa nchi hii ndio wawe vinara wanaohakikisha Lowasa anaingia Magogoni? Hapa nawazungumzia Mh Chenge, Rostam, Karamagi na wengineo wapo kwenye collabo ya Lowasa. Imekaaje hii?
Naomba kabla ya...
Team Lowassa ina majibu mepesi ktk maswali magumu, kama yeye hakuhusika na ni mchapa kzi na anaweza kuchukua maamuzi magumu iweje hakuchukua maamuzi hayo kwa richmond? mkataba ulisainiwa mwezi juni hadi decema hakuna mtambo kama PM alichukua hatua gani na nchi ilikuwa gizani? hapa tunaaminisha...
Team Lowassa ina majibu mepesi ktk maswali magumu, kama yeye hakuhusika na ni mchapa kzi na anaweza kuchukua maamuzi magumu iweje hakuchukua maamuzi hayo kwa richmond? mkataba ulisainiwa mwezi juni hadi decema hakuna mtambo kama PM alichukua hatua gani na nchi ilikuwa gizani? hapa tunaaminisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.