Yaani wewe unasema yafungiwe tu bila kujali ukweli ulioelezwa? Kwa hiyo unaunga mkono kuteswa na kuuawa kwa watu na vyombo vya dora huku wakidai haki zao? Wewe umekula maharage ya wapi? Sio kosa lako huenda unafikilia kwa kutumia masaburi!
List ni ndefu sana na ukweli ni kuwa serikali ya CCM inahusika kwa 100% ndo maana hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kuchukuliwa hatua kwa matukio hayo mpaka haki ikatendekeka na ikaonekana kutendeka. Kinachofanyika ni usanii na hatimae kesi huishia kinyemela na maisha huendelea as usual! Ukweli...
Ndugu yangu acha hizo porojo na siasa za maji taka! CCM ni chama namba moja nchini kuomba misaada duniani katika mataifa ya ughaibuni. Kabla ya kuwepo vyama vingi tayari CCM ilikuwa inaomba misaada ughaibuni ili kuendesha chama na serikali. Leo hii karibia 40% ya bajeti ya serikali ya CCM...
Ndugu yangu tatizo lako hujasoma vizuri ripoti ya tume na hujui kuwa kulikuwa na mabaraza mengi zaidi ya yale ya kata. Kulikuwa na taasisi huru, NGOs na makundi mengi yaliyounda mabaraza. Mabaraza yote yalikuwa na hadhi sawa. Mabaraza ya kata yalikuwa na uzito sawa na mabaraza mengine maana...
Kuna kigugumizi kwa CCM kukubali pendekezo la serikali 3 kwa hoja dhifu ya kuvunja muungano bila kutaja mambo yanayovunja muungano. CCM wanaona serikali mbili zikiboreshwa zitatatua kero za Muungano. Kwa CCM, kutatua kero ni kuhakikisha wanawapatia Wazanzibari madai yao yote huku wakisahau kuwa...
Huo muundo unaeleza Muungano wa nchi mbili ambazo hazina muundo wa serikali moja kwa maana kwamba hazikuungana kwa kila kitu bali baadhi ya mambo ndo yako chini ya muungano kama ilivyo sasa. kwa hiyo kila nchi inabaki na mambo yake yale yasiyo ya muungano. Huo muundo ni sawa na ule...
Kumekuwa na ghiriba nyingi toka kwa CCM kupinga serikali 3 na sasa wanatumia Vyombo vya Dora kuzuia mikutano ya vyama vya siasa wakati Kinana na Nape wakizunguka nchi nzima kunadi sera za CCM huku wakiwadharau, kuwakejeli na kuwabeza UKAWA. Ni hivi Bila serikali 3 hakitaeleweka. Na muundo...
CCM na washirika wao wanaendelea kutoa vijembe juu ya kundi la UKAWA huku wakibeza umoja wao! Wanahoji juu ya ushirikiano wa CHADEMA, NCCR na CUF, na hasa ushirikiano wa CHADEMA na CUF, vyama ambavyo vimekuwa mahasimu kwa muda. Wanahoji na kushangaa ni nini kilicho nyuma ya ushirikiano huo kwa...
Ndugu zangu watanzania tunatakiwa kukumbuka kuwa Nyerere alikuwa Binadamu kama sisi na pia alikuwa na mapungufu yake. Ni kuwa na mawazo mgando kufikiria kuwa hakuwahi kukosea. Katika kumkosoa hakuna aliyemtukana! Viongozi wote duniani wanakosolewa na hata viongozi wa dini wanakosolewa. Hata...
CCM na washirika wao wanaendelea kutoa vijembe na hoja dhaifu. Kwanza wanalalama wapinzani kuungana. Wapinzani kuungana si ajabu hata Zanzibar CCM na CUF wameungana licha ya kuwa mahasimu kwa miaka mingi sana. Vyama vina sera tofauti. Tofauti hizi zinakuwepo pale vinapotafuta kuungwa mkono na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.