Recent content by mpenda arage

 1. mpenda arage

  Kiukweli, Simba wameshazoea kuliabisha taifa huko ugenini. Tumechoka!

  Wakati Simba inaliaibisha taifa, timu nyingine zinafanya kitu gani cha maana?! Utopolo pro max!
 2. mpenda arage

  Wachambuzi wa Michezo Radio za FM acheni kuchanganya lugha, mnajiabisha

  Na siku za hivi karibuni, hizi redio zimegundua vipindi vya michezo vinasikilizwa sana. Kwahiyo wameamua kuviongezea muda mrefu, hawajui kuwa vingine vitakuja kuchosha watu. Na hii ni kwasababu ya kuchukua watu kwa kujuana kisa anajua majina ya wachezaji au anaongea sana kwenye vibanda umiza. Na...
 3. mpenda arage

  Ufisadi Nchini Tanzania. "Tujishikilie Vizuri Wameanza Tena"

  Huu ujenzi wa hii nyumba unaonesha kabisa ulianza kabla ya Pombe kufariki. Sasa utasemaje kuwa wizi ndiyo umeanza?! Kauli sahihi ni kuwa wizi unaendelea! Hapo unataka kumpakazia mama wa watu tu!
 4. mpenda arage

  Senzo alikuzwa sana kiuhalisia hamna kitu. Viongozi wetu wanaongea pembeni ila hawawezi mwambia Usoni

  Huu udhamini ni magumashi sana, bora hata usingeutaja![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 5. mpenda arage

  Senzo alikuzwa sana kiuhalisia hamna kitu. Viongozi wetu wanaongea pembeni ila hawawezi mwambia Usoni

  Na mashavu yake kama mlevi wa komoni![emoji852][emoji852]
 6. mpenda arage

  Serikali imefuta pia adhabu ya 10% inayotozwa na Bodi ya Mikopo kwa wanaochelewa kulipa deni

  Aisee ngoja mwisho wa mwezi nikaombe taarifa ya deni langu lililobaki.
 7. mpenda arage

  Rais Samia achana na kuikumbatia CCM, fanya kazi zenye Maslahi mapana kwa Watanzania

  Mtu ndiyo kwanza ana mwezi mmoja tu, lawama zimeanza! Mibongo mingi ina vinyesi kichwani.
 8. mpenda arage

  Hayati Rais Magufuli aliunda bodi ya mishahara, iliishia wapi? Leo tena Rais Samia anaunda bodi ya mishahara

  Kama umesikia iundwe, ujue haikuwepo. Tulikuwa tunapigwa porojo tu!
 9. mpenda arage

  Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

  Mkuu inaonekana umeumia sana kutoongezwa mshahara! Pole, jikaze![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 10. mpenda arage

  Serikali yaongeza umri wa Utegemezi kwa Wazazi kutoka miaka 18 hadi 21

  Hii nchi watu wake wala hawajui wanataka nini. Kila kitu ni kukosoa na kulalamika tu. Hovyo sana.
 11. mpenda arage

  Mikopo Elimu ya Juu: Hatimaye Value Retention Fee 6% yaondolewa

  Mkuu ni huyo zwazwa peke ake!
 12. mpenda arage

  Mikopo Elimu ya Juu: Hatimaye Value Retention Fee 6% yaondolewa

  Hapa umepuyanga, bora kukamuliwa kwa muda mfupi. Hiyo 6% ilikuwa wizi tu. Au umetumwa na bodi?!
 13. mpenda arage

  Well done Jakaya Kikwete

  Kinatoa checheeee!!
Top Bottom