Na wala hutaweza kumuelewa Mwakyembe kwa sababu kumuelewa mtu huyu kunahitaji na wewe utimie vizuri kichwani kama alivyo yeye Dr Mwakyembe.Rudi darasani haraka.
Alipoulizwa swali na Idhaa ya BBC kuhusu nini hatma yake kama angeshindwa uchaguzi , kwa wepesi alijibu kuwa atarudi monduli kuwa mfugaji na mkulima.
Sasa hili weweseko ni la nini. Huu ni usanii sasa. Kila siku oooh tamko tamko tamko nitatoa tamko. So what? Sasa akishatoa tamko anadhani ndio...
Kumekuwa na nguvu kubwa kutoka kwa baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari kwa kuona baadhi ya watajwa uwaziri mkuu hawafanikiwi majimboni mwao , jambo ambalo halikufua dafu na sasa wamegeuza misuli yao kuhakikisha kati ya watajwa hao mmoja wao hapati kiti hicho.
Mikakati hiyo imeanza kupangwa...
Tusishangae kesho au keshokutwa baadhi ya magazeti yanayomilikiwa na tajiri hapa nchini yakaanza kampeni chafu za kuwachafua baadhi ya Mawaziri wanaotajwa kumrithi waziri mkuu anayemaliza mmuda wake.
Kampeni hizi chafu zimeanza baada ya kazi kubwa kushindwa katika kujaribu kwa hali na mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.