Alitumia Mabilioni kupanga safu ya Wagombea Ubunge Nchi nzima. Sasa kachanganyikiwa atazirudishaje kwani alijua tenda za miradi ya umwagiliaji na contract farming za pamba na tumbaku zingemlipa. juzi kapost anaota jua na njiwa 😆😆😆
Alitumia Guys kwa audience aliyokuwa nayo ya waandishi wa habari ambao wengi walikuwa rika lake na wengine wadogo zake. Sema kwasasa wabongo Tumeamua kuwa negative kwa kila kitu au matamshi ya Serikali. Vitu vingine ivi sio ishu tupambane sasa taifa lisonge mbele
Ukitaka kujifunza utaratibu "law and order " kanisa katoliki ni darasa zuri sana. Angalia walivyoandaa mazishi ya papa francis kwa muda mfupi na kupokea wageni takribani laki nne kwenye misa pale st peter's square ila hakukuwa na mtu alielalamika kukanyagwa au kuibiwa simu.
Majid CRDB imemshinda. Amekuwa 'politicized', kajaa kwenye mfumo wa wana siasa ndio maana wanapenda kumteua kuwa mjumbe wa bodi mbalimbali za mashirika ya umma. Yeye anajiona mwamba kumbe wanatwist. Kwasasa huyo wampe ubunge wa kuteuliwa , wakampe uwaziri ndio akili yake itatulia.
Kwenye shughuli za Rais huyu Mama huwa yupo Mbele mbele kuliko hata walinzi wa Rais. Yaani sijui itifaki gani inaruhusu uswahiba kwenye majukumu ya Mkuu wa Nchi. Kuna jambo halipo sawa.
Sio Tanzania, Ni Duniani Kote. Wewe unaona kawaida Rais wa Marekani kuandaa ziara ya ghafla ndani ya Siku Tano kwenda Vatican kumzika Papa. Rais wa Marekani kutoka nje ya Nchi under Short notice sio jambo jepesi inategemea na nguvu ya other part. Hapo ingekuwa Africa hata kama mmekufa Nchi nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.