Recent content by mpekuz2009

  1. M

    JamiiForums 39 wahojiwa - mauaji ya chuo kikuu cha sauti

    POLISI mkoani Mwanza inawashikilia watu 39 waliokamatwa katika msako uliofanyika maeneo ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine(Saut) kwa mahojiano juu ya mauaji ya utata yaliyotokea katika hosteli za wanafunzi wa chuo hicho. Mauaji hayo yalitokea kati ya Machi 9 hadi Mei 4, mwaka huu...
  2. M

    JamiiForums Hakuna nia ya kuondoa umasikini tanzania- a. Mkulanga

    Ili jambo lolote lifanikiwe duniani linahitaji mambo matatu: nia, sababu na uwezo. Katika utelezaji likupungua moja kati ya mambo haya huwa hakuna mafanikio. Lakini jambo kubwa zaidi katika haya ni NIA. Katika misahafu ya Mwenyezi Mungu na mafunzo ya manabii tunausiwa kwamba kila amali ya...
  3. M

    JamiiForums Yatokanayo na uchaguzi wa Wakuu Wapya wa Wilaya Tanzania, 2012

    Nimeangalia baadhi ya majina ya wateule hawa na kinachoonekana sio tu kwamba Ukuu wa Wilaya ni maalum kwa ajili ya makada wa CCM waliokosa pa kwenda bali pia mwendelezo wa mambo ya kifisadi ndani ya Serikali ya JK. Nitatoa mfano wa wateule wawili, Wilson Elisha Nkhambaku (DC mpya wa...
Back
Top Bottom