Mkuu,hapa atakuja...
Aliyeokoka atakuambia sogea kanisani,sogea kwa Yesu hayo ni mapepo.
Atakuja muislamu safi atakuambia ongeza juhudi katika swalaa na muone ustaadhi akusomee duwa.
Atakuja mlevi atakuambia nina miaka 20 nakunywa bia na haina madhara yoyote na maisha mafupi haya kunywa bwia...
Ambao bado tupo kwenye stage ya kupigika nadhani tunaruhusiwa hapa!
Ni mwaka 2017 tu hapo mzee katimuliwa kazi hapo ndipo kila kitu kilipoharibika na nipo chuo,hapo niliuza hadi viatu na nguo mradi tu kitabu kiemde.
Hapo deni la ada linasoma 2.3mil...nikauza kila kitu cha thamani deni likasoma...
Mwaka 2002 nikiwa bado yanki wa chekechea tu nina miaka yangu saba nilikuwa na katabia kamoja matata sana.
Wazee wangu wanapotoka then wananiambia nibaki nilikuwa nakubali then nawafuatilia nyuma wakifika mbali sana najitokeza kwa vile ni mbali wanakosa jinsi inabidi twende wote tu.
Tulikuwa...
Changamoto kubwa na pale unashindwa kulitimiza hili,huna kitu,huna pesa.
,kuna vitu vya kawaida sana muhimu kwangu,nyumba/chumba changu tena kiwe mahali pa peke yake sitaki fujo,self container ndio cha kwanza,kuwe na umeme,laptop,tv na kisimbuzi cha dstv pia iwepo sabufa yenye sauti quality...
Aaah mi kukaa kwenye vikundi bwana cjui najionaje yan npo juu juu tu sura kama ngumi sijui kazi kuitika eeeh! eeeh! Duuh! alooo! aiseee! zta! zta! zta! zta!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nisimulie hiki kisa changu...
Jumanne 23-08-2019.
Ilikuwa saa nne na nusu usiku nikiwa nimeketi sebuleni,mara gafula mzee akatoka chumbani na kuanza kunitukana matusi ya nguoni...
"Kijana gani wewe kazi kula na kujaza choo,huoni wenzio wanafanya kazi na wanategemewa na wazazi wao...ni...
Mie hata kusalimia tu mtihani yan ile kutambulishwa halafu mtu anarefusha mazungumzo aisee najikuta tu nasema "mi naenda"
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.