Recent content by Mpatanishi

  1. Mpatanishi

    Gari linatoa harufu ya petrol ndani

    Hilo tatizo lilinikuta Ikawa ni Pipe ya kupitisha hewa kwenye pump ya mafuta. Hebu itazame kama imelegea kama ndio basi ndio inayotoa hewa ni ishu ndogo nunua maker ile gundi then chomo hiyo pipe paka gundi then chomeka pipe tatizo litakwisha.
  2. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo watoto wa Mandela wanatoboa?? Odds mlima
  3. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari maafisa. Nina laki 1 kesho nataka niichome kwa odds 15 tu. Naona kesho timu ni nyingi mno ndio napagawa niweke yupi niache yupi. Kila ninayogusa naona mawenge.
  4. Mpatanishi

    Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

    Tatizo unapanda mikweche. Panda ma bus ya maana uone huduma zao
  5. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aaah acha nilale mkuu Pryamids kasuluhu dakika ya 93 karuhusu bao. Mkeka kwishney
  6. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dakika 49 wamepata goli tayari.
  7. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tuvute subira mkuu naamini societal wakipata goli la nne watapunguza speed dakika za mwisho au hata kufanya sub key players wao.
  8. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game ya Benfica nimeipa GG ila mhh sidhani kama Benfica atapata goli. Kashapigwa 3 bila
  9. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata mimi mkuu. Sportpesa direct win inakua na odds tamu sana
  10. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Fernabache anaweza chomoa kukwepa aibu ya uwanja wa nyumbani ila kushinda mmmhhh sidhani
  11. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kapata penalty moja katupia tayari. Wait tuone atachomoa zote tatu?????
  12. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu mbwa Leipzig amechana mikeka ya hela ndefu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  13. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Rb leipzig ni msengenyaji sana
  14. Mpatanishi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo kanji anapigika believe me
Back
Top Bottom