Recent content by mpare wa same

  1. M

    Muuza mishkaki Temeke akamatwa akiandaa paka kutengeneza mishkaki

    Nimejaribu kuweka imekataa nielekeze labda nakosea mahali ila picha zipo.
  2. M

    Muuza mishkaki Temeke akamatwa akiandaa paka kutengeneza mishkaki

    Said Mishkaki ambaye ni muuzaji mishkaki maarufu maeneo ya Temeke , amepigwa leo na wananchi wenye hasira baada ya kukutwa akiandaa paka kwa ajili ya kuitengeneza mishkaki. WanaJF tuwe makini na hii mishkaki ya barabarani.
  3. M

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    vodacom ni wezi leo nimenunua muda wa maongezi kwa m pesa ambapo wanasema ukinunua kanzia 600 kwenda juu unapata nyongeza ya sh 150 mm nimenunua muda wa sh 1500 sijapata nyongeza yoyote huu ni udanganyifu na aibu kwa kampuni kubwa kama hii kuweka matangazo ya uongo
  4. M

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    makamba ametweet kuwa amewaagiza mamlaka ya mawasiliano washughulikie then watoe taarifa lakini naona ni kauli za kisiasa
  5. M

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    kiongozi nimekubali bora nihamie zantel nilimbie huu wizi wa voda
  6. M

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    nisaidiwe kujua sababu za kupanda kwa hizi gharama kwa upande wa mb au limesababishwa na kushuka kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia?
  7. M

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    nimeyapeleka ila inaonekana kama una hisa pale vod ndo maanahutaki wazungumziwe hapa JF
  8. M

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    kaka makamba anauwezo wa kuingilia kati akipenda ila hawa ndio watakaomchangia hela za kwenda magogoni hawzi kuwafanya lolote
  9. M

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    ni kweli mkuu dada yake January makamba miss Mwamvita makamba alishawahi kuwa boss wa kitengo flani kwenye hii kampuni hivyo ni hao hao hawawezi kufanywa lolote zaidi ya kuungwa mkono
  10. M

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    issue sio kuanzisha thread mpya bali nimekerwa mno na huu wixi wa mchana kweupe
  11. M

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    issue sio thread mpya balu ni huu upandishwaji wa gharama unaofanywa kila siku na hii kampuni kaka naona ww hujaliona hili kuwa ni jipya kutoka mb 100 mpaka mb 8 ni gharama zipi za uendeshaji zinazoweza kufanya punguzo la mb kwa asilimia zaidi ya tisini na unachangia ujinga
  12. M

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Vodacom wamepandisha gharama za mawasiliano katika vifurushi vyao ambapo pia wamepandisha gharama za mb. kwa sasa ukinunua kifurushi cha shilingi 1000 mitandao yote unapata dakika 20 badala ya 21 za awali na mb 8 badala ya 100 za awali. mh makamba imulike hii kampuni inayopandisha gharama...
  13. M

    Madawa ya Kulevya: Tevez adaiwa kukatwakatwa uume wake South Africa

    hata kama akirudi keshakuwa shoga kama kakatwa kikojoleo na kiliwa kisamvu cha kopo ana lipi la ziada ms.n.e tu. nawachukia wauza unga
  14. M

    Madawa ya Kulevya: Tevez adaiwa kukatwakatwa uume wake South Africa

    hata kama akirudi keshakuwa shoga kama kakatwa kikojoleo na kiliwa kisamvu cha kopo ana lipi la ziada ms.ng tu. nawachukia wauza unga
  15. M

    Madawa ya Kulevya: Tevez adaiwa kukatwakatwa uume wake South Africa

    ningekuwa pinda ningesema wauza madawa ya kulevya wanyongwe tu kuliko kusema wananchi wapigwe tu na askari
Back
Top Bottom