Recent content by Mpanzi

  1. M

    Total yatoa fursa vituo vya COCO na CODO kuzigeuza DODO! Kuwa umiliki kituo cha mafuta cha total

    Shell is a Dutch owned company, Royal Dutch Shell, iliondoka Tanzania Zamani sana, na ndio msingi wa vituo vya mafuta kuitwa Sheli, Ya Uingereza ni BP ndo wameuza kwa Puma
  2. M

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Pamoja na Maaskofu wakuu, pia kanisa Katoliki Limekuwa likiwafanya Makadinali, Mapatriach wa makanisa ya Mashariki, Mfano ni Cardinal Naguib wa Coptic Church Alexandria Misri, Patriach wa kanisa Katoliki la Syria, Patriach wa Antioch Lebanon, lakini pia mkuu wa kanisa la Syro Malaba la India...
  3. M

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Ni kweli kuwa Cardinal anaweza kuwa Padri au Shemasi, lakini hizo ni incidence chache, Mfano ni Askofu Msaidizi wa San Salvador, Cardinal Gregoria, yeye ni Cardinal wakati askofu Mkuu wa Diocese yake ambae kiutendaji katika Jimbo ni boss wake sio Cardinal, ila Makardinal Wengi ambao ni Maaskofu...
  4. M

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Usiyetaka kujifunza ingia hapa http://www.catholic-hierarchy.org/bishop/bvbalt.html Hans Urs, alifariki kabla hajatawazwa kuwa cardinal, sheria za kanisa ziko wazi, kama angeenda kutawazwa angekuwa consecrated. Acha uvivu, jieleimishe.
  5. M

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Nahisi hunielewi, sijakataa Padri kuteuliwa kuwa kardinali, kasome tena nilichoandika, ila kabla ya kusimikwa ukadinali anapewa uaskofu,
  6. M

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    We ndo mvivu wa kusoma, ngoja nikutafunie "In 1962, Pope John XXIII set the norm that all cardinals be ordained as bishops, even if they are only priests at the time of appointment. As a consequence of these two changes, canon 351 of the 1983 Code of Canon Law requires that a cardinal be at...
  7. M

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Cardinal Rugambwa alijiuzulu akiwa na Miaka 78, sheria inataka kuanzia miaka 75, ila kama afya ni njema na imeonekana unaweza kuendelea, basi unaendelea lakini wakati wowote unaweza kujiuzulu, Mfano ni askofu Amedeus Msarikie, alijiuzulu na Miaka 76. So msishangae Pengo akaendelea kwa muda...
  8. M

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Mkuu kwa taratibu za Sasa za Kanisa, Cardinal lazima pia awe askofu, unachozungumiza wewe ni rank za ukadinali, mfano Pengo ni Cardinal-Priest of Nostra Signora de La Salette, Cardinal Bishops wako 6 tu, na wanakuwa katika Roman Curia. Makadinali wendi ni Cardinal priest na wengine ni Cardinal...
  9. M

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Sahihisho Jingine, Ruwaichi tayari ni Askofu Mkuu. hatapewa tena Uaskofu Mkuu (Maaskofu wakuu huwa wanavalishwa Palia Takatifu ambayo Ruwaichi alipewa alipoteuliwa askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Mwanza ) atakachopewa Ruwaichi ni mamlaka ya kuliongoza jimbo kuu la Dar es Salaam.
  10. M

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Paskali, naomba nikukosoe, Ruwaichi hasubiri kuwa Kadinali ndo amrithi Pengo. Ukadinali haurithiwi. Ruwaichi atakuwa Askofu mkuu wa Dar es Salaam. Pengo atendelea kuwa kadinali na Askofu Mkuu Mstaafu (Arch Bishop Emeritus of Arch Diocese of Dar es Salaam. Ukadinali wake atabaki nao kwa ajili ya...
  11. M

    Historia fupi ya makamanda na upambanaji wao dhidi ya Nduli Iddi Amin (Dada)

    Ushindi wa Vita ulipatikana Lukaya, ambapo brigade iliyokuwa chini Imran Kombe iliwapa kichapo cha kushtukiza askari wa Amini na wa Libya kilichopelekea kuuwawa kwa kiongozi wa Jeshi la Amini, Sule. Kuuawa kwa Sule na kichapo cha Lukaya kuliwavunja Moyo sana Askari wa Amini na Mamluki wa Libya...
  12. M

    Ni wakati wa Kanisa Katoliki kusimama na kukemea,Askofu Shoo ameonesha njia.Waumini wana manung'uniko

    Ruwaichi kwa sasa ni Coadjutor Archbishop of Dar es Salam, Askofu Mkuu Mrithi wa Jimbo Kuu la Dar es Salam, anasubiri kumrithi Pengo! Hivyo kwa Sasa sio Msemaji kwa sababu Madaraka ya Uaskofu yako kwa Pengo! Kilaini aliondolewa Dar sababu ya kujifanya Msemaji wa Jimbo. Subiri Pengo astaafu Juda...
  13. M

    Bossi wa ATCL akiri kuwa ripoti ya CAG ni ya ukweli, shirika linajiendesha kwa hasara kwa mwaka 2017/18 wana hasara ya bil 16

    Afadhali umekiri kuwa Elimu yako ni ya la 7, hiyo hasara ni ya mwaka 2017 wakati tunaoperate Bomabrdia ambazo ilikuwa rahisi kuzijaza, kuanzia mwaka Jana tumeongeza ndege tatu kubwa, ambazo bado hazijaweza ruka kimataifa, tegemea hasara mara tatu
  14. M

    Seba Maganga anaweza kuvaa viatu vya Ruge Mutahaba akipunguza kujisikia

    Hakuna mtu anaweza ziba Pengo la Ruge, Ruge hakuwa mwajiriiwa, alikuwa patner wa kusaga walioanzisha wote Clouds from the scratch, nadhani mlimsikia Kusaga jana, so Ruge alikuwa na uwezo wa kufanya maamuzi ya mwisho bila kumuuliza Kusaga, anayekuja hatakuwa na uwezo huo, na hatakuwa na nguvu za...
  15. M

    Rais Magufuli mgeni rasmi katika sherehe ya kumsimika Askofu mteule wa Kanisa Anglikana, Dayosisi ya Dsm

    Kanisa Anglican lilijitenga toka catholic, ndo maana ibada zake zinafanana, na kanisa Catholic linaamini huduma zote zinazotolewa na kanisa Anglican, hata Mapdri wa Kianglican wakiingia Catholic wanatambuliwa hawapewi daraja upya, na ndio maana hata Magufuli Mkatholic anaweza pokea Anglican
Back
Top Bottom