Recent content by Mpanda nyangobe

  1. M

    Mkoa wa Geita wavunja rekodi,wagombea ubunge wawili ni wahitimu wa darasa la saba B

    Hawa wasomi wa kukalili madesa wanna tufauti gani na wahitimu wa std seven.....halafu unamchukuliaje MTU aliyekaa darasan miaka saba bado unamchukulia kuwa ni tabulalasa!!!!
  2. M

    Friends of Lowassa and Sukuma gang

    Wee Mzee uwezo wako wa kuandika constructive thread Huwa ni mdogo sana.....
  3. M

    RC Mboni Mhita: Shinyanga na Kahama zimekusanya TZS 540bn kutoka kwenye madini

    Zinanifaishaje mikoa hiyo ya kimadini hizo fedha??? Barbara za mitaa mikoa hiyo ni changamoto
  4. M

    Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

    Acha stori za kijiweni huyo jaji wa Iraq bado yupo hai mpaka leo
  5. M

    Usajili wa kwanza msimu huu Simba

    Lete mzungu ..
  6. M

    John Heche: Wabunge wanafanya Siri mishahara yao ili Serikali iendelee kuwaibia Wananchi

    Nikiwa rais nitafuta utitiri wa majinbo yasyo na tija..badala yake kila mkoa utakuwa na Jimbo Moja tu..hivyo wabunge jumla nchi nzima wasizidi 30
  7. M

    Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

    Umesema wakati ule wa GIZA..Kwa iyo sasa hivi ni wakati wa NURU au siyo..!
  8. M

    Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

    Mleta mada hebu weka Uzi wako Kwa kiingereza kilichonyooka ili wajuvi wa hii lugha tukupime kwanza wewe kama unaimudu
  9. M

    Timu za Kariakoo Jengeni viwanja vyenu ili kuongeza furaha za mashabiki wenu

    Kwa Hali ilivyo ya kutegemea uwanja wa serikali Kwa mechi muhimu za klabu za kimataifa..ipo siku timu hizo za Kariakoo zitacheza mechi za nyumbani nchini congo au Rwanda!!!.... Ni aibu tunaambiwa ligi yetu imekuwa mara ipo namba 5 Afrika ..na blah blah kibao...huku timu kubwa zikitegemea uwanja...
  10. M

    Angalia Jukwaa la Wageni rasimi mei mosi Kenya Vs Jukwaa la wageni rasim Mei mosi Tanzaniza pale Singida,

    Pia mei mosi ya Kenya imetumia saa Moja na nusu ikaisha...Lakini bongolala Toka saa Moja asubuhi wapo live mpaka saa nane na nusu....what a shame!
  11. M

    Maaskofu wote watasafiri kuelekea Vatican?

    Wanaemda makadinali sio maasikofu wa majimbo...hao utaendelea nao kwenye huduma za sakramenti ya kitubio
  12. M

    DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

    Hiki chama hata papa Francisco akipewa nchi atakuwa driven na mfumo wa chama... atakuwa wa hovyo mpaka Dunia itamshangaa
  13. M

    PreGE2025 Mkuu wa mkoa wa Tabora atoa ahadi ya milioni 60 kwa Tabora United akiifunga Yanga

    Mshahara wa rc upo chini ya m 5 halafu anatoa ahadi ya sh m 60 hii ni dhihaka kubwa sana Kwa walipa kodi
Back
Top Bottom