Recent content by Mpamo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    Kweli DEOs na REOs ndiyo wamemwangusha naana baada ya yeye jufanya ilitakiwa nao wawaelimishe wazazi maana wao ndiyo wadau wakudwa zaidi wa matokeo. Too bad juhudi yote aliyofanya bado wameshindwa kufikisha elimu hiyo kwa wazazi- wadau wakuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    Mbona una hasira na Msonde, amekukosea nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    Mkuu ndiyo matokeo ya kweli yapo kwenye tovuti ya NECTA http://41.188.155.122/csee/matokeo/csee/2014/olevel2014.htm
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    Nimepitia matokeo ya Kidato cha Nne na kuona jinsi ambavyo BRN imeleta mageuzi katika sekta ya elimu. CSEE 2014 EXAMINATION RESULTS S0784 AIRWING SECONDARY SCHOOL DISTINCTION = 1 MERIT = 19 CREDIT = 35 PASS = 112 FAIL = 199 S4887 MILONGODI SECONDARY SCHOOL DISTINCTION = 0 MERIT = 0 CREDIT...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    Hongera zao kwa mapishi siwawezi!!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati: Madudu katika Matokeo Kidato cha Sita 2014 yanatisha

    Aliyeshiba hamjui mwenye njaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ghalibu Bilal agawa zawadi hewa kwa wanafunzi Bora

    Huo ni usanii uliopitiliza. Kwanza Wizara ya Elimu ni bora tu ivunjwe maana kila kitu kimeshahamia TAMISEMI, wao wamebaki na kazi ya kuchakachua viango vya ufaulu, sasa wanachakachua mpaka zawadi za wanafunzi. HII NI ZAIDI YA AIBU NA NI FEDHEHA KUBWA SANA KWA MAKAMU WA RAIS ONLY IN...
  8. M

    JamiiForums Tanzania NECTA Yabadilisha Viwango vya Ufaulu Form 6, DIV I Mwisho point 7

    Ni kweli mkuu grade zimeshushwa sana thamani ukilinganisha hata na walivyobana pointi ya madaraja. Kwa hiyo kwa kuzingatia kushuka kwa thamani ya A, B C na D ni yale yale tu ya wale wale tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    Hivi huu ni mchezo gani hasa unaochezwa? Kidato cha Nne magoli yalipanuliwa huku wanabana wakati kote wameshusha sana thamani ya grade zore kuanzia A hadi D. Kwa hiyo inaonekana wangeacha magoli kama yalivyokuwa kwa kuwa thamani ya grades A, B, C, na D zimeshushwa sana, inaelekea wanafunzi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    OYEEEEEEEH, naomba kwenye mchakato wa katiba unaoendelea apendekezwe kuwa Katibu Mkuu wa Kudumu kwenye Elimu ili watanzania waendeleaa kufaidi haya mabadiliko ya kushtukiza
  11. M

    JamiiForums Tanzania NECTA Yabadilisha Viwango vya Ufaulu Form 6, DIV I Mwisho point 7

    Wenzangu na mie waliokuwa wanategemea masomo ya dini sasa watakiona. Go NECTA gooooooo!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    Waliokuwa wanaponea masomo ya dini sasa wamekwisha maana hayatahesabika tena. Hapo safi sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014, DIV I point 3-7

    Duuh, Kazi na shughuli ni pevu sana. wale waliokuwa wanategemea masomo ya dini mwaka huu wataangukia pua maana hayo hayahesabiki kwenye Division kuanzia mwaka huu TWENDE KAZI
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mitihani inayoendelea kidato cha sita

    Mhhh, ya kweli hayo au ni kutojiandaa vizuri unaweweseka?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne-2013

    Naunga mkono hoja ufafanuzi haijajitosheleza
Back
Top Bottom