Nafikiri humu kama unaanzisha biashara yako usije kabisa maana wana JF ni wajuaji utafikiri wote matajiri😂😂...halaf anaweza akaa anaongea kitu ambacho hakijui utafikiri anakijua kuliko wewe......Wafanyabiashara tupeni ushuhuda!!
Ukisema sijafanya utafiti wa kutosha lazima utuambie wewe bei yako baada ya utafiti!....unless kama unataka kuleta uswahili pia routers unaweza kuwaonganisha familia au team yako mkiwa kwenye event au kazini so inamatumizi mengi labda kama huyajui!!
Acha uongo wewe kama nani?.......Hatupo zama za mawe saivi kwamba utadanganya tu akati kila kitu kipo wazi na elimu ipo mkononi...ndio maana mlifeli mitihani ya ndalichako uongo mwingi
Apo kwa wiki gb10 huoni wamekulimit🙃....na unafikiri zitaisha mwisho wa week😂😂....bora ununue unlimited(bila kikomo).....hapo unafanya kitu chochote bila kuogopa bando kuisha mwezi mzima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.