Recent content by mpalingo

  1. M

    G. Lema: “Serikali huwezi kutibu Malaria kwa kumpa Mgonjwa Panadol”

    Kabisa huwez kuchoka kusoma au kuckilza ukwel unaoccmua nwil toka kwa Lema. Mungu amlinde kamanda Lema.
  2. M

    CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama Vipi Kifutwe Kabisa Tujue Moja?!.

    Umekurupuka soma vzr umuelewe, inahtajka Utulivu.
  3. M

    Exclusive: Majibizano kati ya Job Ndugai na Eliasanti Bugenyi yaibua mapya!

    Sio tu hamjui Mungu ila kwa jins ubongo wake unavyoweza kuzalisha maneno machafu, n Inshara tosha mgonjwa ccm yu mahtut na punde atakata kauli..,
  4. M

    Picha: Nassari akiwa na Lema kituo kikuu cha Polisi, Arusha

    Itakuwa unaroho mbaya sn! tena una wiv mbaya uanaokufanya uendelee kukauka
  5. M

    LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    Pole yamkin upendo wako kwa magamba umekupofusha ucjue kuwa Lema ananyanyaswa kosa lake kubwa ni KWELI! fungua macho!!
  6. M

    Amini usiamini CHADEMA waweza futwa au kusambaratika kabla ya uchaguzi mkuu

    Kabixaaaa, kufuta chadema ni sawa na kufuta asilimia kubwa ya waTanganyika
  7. M

    Zitto ni kiongozi shupavu

    Haihitaj jicho la tatu kuona n jins gan zto hayuko mctar mmoja na makamanda wenzake, hasa ukiangalia mambo meng chama kinakabiliwa nayo lakn yuko kmya
  8. M

    Lusinde: Serikali isifikirie adui ni CHADEMA, ni watendaji!

    Mnafiki ameona upepo unavyovuma vbaya upande wake na wa chama chake.,,
  9. M

    CHADEMA na TBC kunani?

    Kwel wewe n Sumu! unachumia tumbo, posho ya magamba imekupofusha huoni jins inavyofanya kaz ya Propaganda ya ccm kwa kod zetu
  10. M

    Limevunda CHADEMA

    huwez kumpata hata mjinga mmoja kwa propaganda za kizaman, endelea kuchumia tumbo
  11. M

    Tafadhali CCM; Lioneeni Taifa huruma... msisimamishe wagombea kwa miaka 50 ijayo...

    Unavunja moyo watu wanaouona ukomboz umekaribia.
Back
Top Bottom