Recent content by MPALESTINA MWEUSI

  1. MPALESTINA MWEUSI

    Mwita Waitara aibukia kwenye Kampeni, asisitiza wananchi wakichagua CHADEMA Serikali haitawapelekea maendeleo

    Kwa hiyo Upendo Peneza alitoa maneno hahahahahahahhaahah duh CHADEMA si mchezo
  2. MPALESTINA MWEUSI

    Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

    Ndio maana nasema mwanaume mwenye akili hawezi kuoa mwanamke used, huoa bikra, sasa vipi una mimba ya mtu mwingine halafu unaolewa nayo, huu ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa
  3. MPALESTINA MWEUSI

    ANAYEHITAJI KUOLEWA

    kwa mujibu wa mafundisho ya uislam, mtu mwenye akili ni yule anayehesabu nafsi yake na kufanya matendo yatakayomfaa siku ya hukumu na mjinga ni yule anayefata matamanio ya nafsi yake na anamatarajio siku ya hukumu mbele ya Muumba atapata nafuu/hataadhibiwa, Kama mjinga unayemzungumzia wewe ni...
  4. MPALESTINA MWEUSI

    ANAYEHITAJI KUOLEWA

    Jamani kwa Mwanamke mwenye sifa hizi, Mweupe, asiwe mfupi, asiwe mwembamba sana, asiwe na miaka inayozidi 30, awe muislam, asiwe mwenye watoto, basi tuwasiliane inbox kama yupo tayari kuolewa, mie tayari nina wake wawili hivyo yeye atakuwa wa tatu.
  5. MPALESTINA MWEUSI

    Mke wa asili ya Pemba anahitajika

    We utakuwa si muislam ndio maana umeshindwa kuyaelewa hayo maneno
  6. MPALESTINA MWEUSI

    Mke wa asili ya Pemba anahitajika

    HAHAHAHAAHAH UMENIFURAHISHA SANA, LAKINI SI UNAOA UNAEMPENDA NDUGU, NDIVYO MTUME S.A.W ALIVYOTUELEKEZA, MIE NAWAPENDA WANAWAKE WA KIPEMBA, HAWA WENGINE NIMESHAOA, NINA WANAWAKE WA KIBARA WAWILI HIVYO ANATAKIWA MPEMBA, THEN MWARABU, HAPO NIMEMALIZA
  7. MPALESTINA MWEUSI

    Harrier inauzwa Tsh 14,000,000

    Kwa anayehitaji gari, nina Harrier namba D yenye cc 2190 Engine 5s rangi pearl, ipo Dar Kwa anayehitaji anaweza wasiliana nami kwa namba 0628021221, picha zitatumwa kwa muhitaji tu, Tafadhali,
  8. MPALESTINA MWEUSI

    Mke wa asili ya Pemba anahitajika

    Kusaidia hakuna mipaka, wanawake wote wana shida kwa hiyo kuchagua eneo la kusiadia hakuna tatizo, hivi mtu akiamua kwenda kuwasaidia maskini wa mkoa wa Kigoma utamhoji kwa nini asiende mkoa wa Mbeya, Hoja ni kuwasaidia sasa kwa nini kundi fulani si hoja ya msingi
  9. MPALESTINA MWEUSI

    Mke wa asili ya Pemba anahitajika

    Duh, kuwa na mke zaidi ya mmoja ni kuwasaidia wanawake zaidi
  10. MPALESTINA MWEUSI

    Mke wa asili ya Pemba anahitajika

    duh kwa nini unasema hivyo
  11. MPALESTINA MWEUSI

    Mke wa asili ya Pemba anahitajika

    Haya bwana ngoja nifanye na hiyo option
  12. MPALESTINA MWEUSI

    Mke wa asili ya Pemba anahitajika

    Duh ushauri wako muhimu, ngoja nitafute rafiki huko pemba, lakini siwapo pia wapemba waishio huku bara
  13. MPALESTINA MWEUSI

    Mke wa asili ya Pemba anahitajika

    Utaendaje sehemu bila mwenyeji, inakuwa ngumu labda kama hutafuti mke
  14. MPALESTINA MWEUSI

    Mke wa asili ya Pemba anahitajika

    Sifa zangu nimeweka nimeoa tayari, ila sifa zingine zitapatikana kwa mtu aliye serious akija PM au akituma email
Back
Top Bottom