Recent content by Mpaji

  1. M

    Jopo la usuluhishi Katiba Mpya latoa ripoti ya utafiti wa kukwama kwa mchakato wa katiba mpya

    Kwani lazima kuchangia! Kama huelewi kinachojadiliwa bora kunyamaza.
  2. M

    Taarifa ya JWTZ kwa Umma

    Sijakuelewa!!!
  3. M

    Taarifa ya JWTZ kwa Umma

    Usipotoshe mada waulize wao.
  4. M

    Taarifa ya JWTZ kwa Umma

    Fuatilia hapo juu.
  5. M

    Taarifa ya JWTZ kwa Umma

    Ndio hajataka na wao wapima threat yake sio kila kitu.
  6. M

    Taarifa ya JWTZ kwa Umma

    Hiyo ni Id ya device unayotumia inaweza hata kutoa location yako ulipo na kila device ina Id yake. Jf hawatawapa wanaweza kutumia vijana wa IT.
  7. M

    Taarifa ya JWTZ kwa Umma

    Search kuna kitu kinaitwa Ip address.
  8. M

    Taarifa ya JWTZ kwa Umma

    Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.
  9. M

    boom boom boom boom

    Wajinga ndio waliwao?
  10. M

    Waliyochaguliwa Vyuo 2013/14 Kufanya Mtihani (Entrance Exams)

    Mkuu kwa kuthibitisha ufaulu wako mzuri kwa muonekano umemaliza chuo. Tuwekee transcript yako hapa kama uko chuo tuwekee matokeo yako ya semister iliyopita tuelewe huo uwezo wako.
  11. M

    JWTZ kuna udhaifu idara ya habari

    Wanajeshi wao wanausemi kuwa Jeshi sio shirika la mkonge ambalo inawezekana kila mtu anaweza kutoa taarifa bila kujali hadhira. Wewe umesukumwa na utashi wako bila kutafakari. JWTZ wanamafunzo ya kutosha kuuwawa askari wanaolinda amani haihitaji propaganda huko hawajaenda vitani.
  12. M

    Likizo na Pasi Zasitishwa JWTZ. Waliokuwa likizo waitwa warudi kambini

    Acha kutafuta habari na umaarufu haukusaidi jeshi ni taasisi iliyokamilika inataratibu zake. Naona wewe umekuwa msemaji wa jeshi. Ukiona vp omba nafasi ili upate urahisi wa kuandika correct info.
  13. M

    FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    Mgosi na matamshi ya kerereeeeeeeeee, ungejiita mwita tungekubali wewe ni mtusi na kiingia Kigali sio shida ni kazi rahisi sana tukiamua.
Back
Top Bottom