Recent content by mpahuka

  1. M

    Trekta ya aina gani ni bora kwa mazingira ya Tanzania?

    Wenye tractor za kichina, tuzungumzie ubora na mapumgufu.
  2. M

    Hakainde Hechilema wa Zambia "Kama Maskini Tafuta Pesa Kwanza Ndio Ugombee Uongozi Serikalini" Wanyonge Mtasuka au Mtanyoa?

    Value creation inamaanisha siyo kujipatia pesa pekee. Kuna kujijengea uaminifu, Imani isiyoshaka,uadilifu, kuumudu uongozi, Imani ya kiroho, kuumudu ubinafsi na uchoyo nk. Maskini tusitoe povu. Kasema ukweli. For value not for money .
  3. M

    Bado sijaona mbadala wa Scandinavian katika usafiri wa Mabasi. Nauli ilitofautiana kwa aina ya SCANIA

    Swala si tu kuwa royal kwa customers. Scandinavia walijali hata emotions za watu wengine. Basi lilopata ajali au ubovu wowote likivutwa na breakdown,hufunikwa lote kwa turubai. Mabaki ya ajali huwa na mitazamo hasi.
  4. M

    Afisa Magereza anapita ndani mwendokasi bila tiketi?

    Huyu jamaa atakuwa amesahau swali linguine alonalo ya kuwa magari ya JW hayana sticker za BIMA. Atakuja tu.[emoji3][emoji3][emoji3]
  5. M

    Baba Askofu Bandekile Mwamakula asema inawezekana Job Ndugai alisoma Kitabu cha Animal Farm

    Ila sasa mambo hayakuwa hivo . Pigs kama wasomi kwa vile walikuwa na mpango kazi wa bw. Jones, waliouokota jalalani, usiku walivunja kanuni nyingi kama vile kulala vitandani, kucheza disco, hata kula mayai ya kuku. Sasa wanyama wengine (mafala),wakienda kuhakiki zile sheria na kanuni...
  6. M

    Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

    Inaanza kukubalika hata bila kujitambua. Eti nasikia hata wabunge wangeweza kuchapwa viboko, na wao Kama muhimili ulikaa kimya!
  7. M

    Matokeo ya vipimo vya "sampuli za Magufuli" ni ya kizushi

    Hata kipimo cha mimba tu ukiweka mkojo wa mwanamke au mwanaume lazima kitoe majibu. Iwe positive au negative sababu kinapima mkojo.Lakini ukiweka maji hakitatoa jibu lolote. Kwa hiyo hivi vipimo kutoa majibu ya mapapai na fenesi tambua kuna tatizo. Kuna kitu kinaitwa methodology. Mtufafanulie...
  8. M

    Serikali yakanusha kutokea vifo 50 vya COVID-19 kwa siku jijini Dar

    A: Kwanini ulimpiga teke la namna ile yule jamaa? Kwani inahitaji punda wa kienyeji na si punda chotara kumudu vile! B: Si aliniita mimi puuunda! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Serikali yakanusha kutokea vifo 50 vya COVID-19 kwa siku jijini Dar

    Inamaanisha walevi walolala barabarani hawaangaliwi mapigo yao ya moyo! Day! Hivi ni vituko ndani janga Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Kunogesha zaidi; abiria anapoambiwa " wanaoshuka bondeni kwenye Kona darajani. Hapo Sasa! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Lakini siyo ile hotuba ambayo Mbowe uliitoa nje ya Bunge, it was a misfire! Ulishindwaje kutoa maoni kama hayo ndani ya bunge wakati siku hiyo kulikuwa na majadiliano ya wizara ya afya? Au ni kuigiza ku-command taifa wakati huna instruments. Ungesikia- mwongozo, mwongozo. Ni speed or popularity...
  12. M

    Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Intelijensia ya kidiplomasia ktk siasa inaitwa ; to hijack the situation. You grab before it becomes obvious. Viewing or forecasting? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Food For thought: Kwanini Watu Sasa wanazikwa Usiku, tena na vyombo vya Serikali?

    Kuna kitu cheupe ndani ya Hilo Hilo kaburi. Nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

    Hadi futi sita kwenda chini, utakuwa unasema wewe sio "public figure"! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

    Sifa kuu? Uwezo wa kuona usiku Kama mchana( fumbua). Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom