Recent content by MPadmire

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine, sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?

    KUIBA KURA ILI KUFANYA UFISADI KWENYE MALI ZA UMMA KUFANYA UCHAWI ILI TUPATE UBUNGE UCHAWA ILI TUTULIZE NJAA tulizoletewa na hao walio iba kura hapo juu
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Watu wanatekwa na kupotea kama sindano Nchini

    Huyo kuku, kabisa sio kulia...achinjwe watu wafaidi supu. Zamani wafalme walizikwa na mtu hai..ni kama hilo Chawa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali haiwezi kuajiri kila mhitimu wa Chuo

    Safi sana! Mawazo mazuri sana. Yawekwe juu au kupewa thread mpya Mageuzi ya Elimu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali haiwezi kuajiri kila mhitimu wa Chuo

    Serikali inafanya drama kwenye mambo ya kipuuzi kama Magoli, wasanii na anasa za maV8 mengi. Serikali ajiri waalimu wote...bila masharti. Halafu itoe seminar kuwabrash ...ili kuboresha ufundishaji. Machawa acheni upumbafu, hata wadogo zenu wanaumia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuongeza kasi ya kuunganisha umeme kufikia 72% ifikapo 2030 - Rais Dkt Samia

    Siasa tu Nguzo moja kulipa ni 500,000 kuwekewa Umeme huko Rombo! But why!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Marekani Kujitoa WHO ni vita vya kiuchumi na China

    Watanzania wengi wana kashifu USA, nadhani ni wale Watz vilaza! Sasa Kila nchi isaidiwe na rafiki zake kununua hizo ARV , China atupe sisi Watz Maana hata manguo ya kichina yamejaa tz; mpaka mitumba ya kichina imefubaaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nongwa za Prof. Anna Tibaijuka baada ya USA Dola kuzidi kushuka na Shilingi ya Tanzania kuimarika

    Sasa hivi Exchange rare ni ngapi? Soma hiyooo ! Professor Tibaijuka kaibuka shujaa dhidi ya machawa Machawa wachafu kuchumia tumbo wameumbukaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nongwa za Prof. Anna Tibaijuka baada ya USA Dola kuzidi kushuka na Shilingi ya Tanzania kuimarika

    Quality ipi ya bidhaa Tanzania kumezagaa vitu vya kichina Mpaka mtumba ni taka taka, tambara za kichina. Watu wanaenda Nairobi na Kampala kuchukua nguo grade. Tumerogwa na wachina
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nongwa za Prof. Anna Tibaijuka baada ya USA Dola kuzidi kushuka na Shilingi ya Tanzania kuimarika

    Jibu zuri kitaalamu Huyo hajui...hawezi kuelewa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nongwa za Prof. Anna Tibaijuka baada ya USA Dola kuzidi kushuka na Shilingi ya Tanzania kuimarika

    Ongea kama mchumi...Mwananchiii wa Kawaida amepata faida gani? Ule mfumuko wa bei za bidhaa uliosababishwa na shillingi kushuka thamani, umeshuka?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nongwa za Prof. Anna Tibaijuka baada ya USA Dola kuzidi kushuka na Shilingi ya Tanzania kuimarika

    Hoja yako wewe mchumi iko wapi? Kutukana ndio unaweza
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nongwa za Prof. Anna Tibaijuka baada ya USA Dola kuzidi kushuka na Shilingi ya Tanzania kuimarika

    Mchumi mmoja tu ameongea point...ni Professor Tibaijuka. Wengine ni chawa walioficha ID zao. Shillingi ilivyoporomoka thamani, bidhaa zilipanda bei, mfumuko wa bei... Je kuimarika thamani ya Shillingi, kuna unafuu kwenye bei za bidhaa za Kawaida kwenye soko ? Shillingi kupanda thamani...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulisema Karia must go ukahisi tunazingua, tutaelewana polepole

    Ni kweli, Kolo wanabebwa kabisa. Simba hawana mpira wanaojua kucheza, wanasubiri kuunganika Karia anawabeba mchana kweupe....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maji ya kilimanjaro sio mazuri siku hizi

    Nakunywa DEW DROP na Hill water Maji ya Kilimanjaro ni mazito, hayakati kiu...itawezekana chemical zimezidi Inaweza kuwa chanzo chao cha maji, ni polluted sana hivyo wanajaza chemical kusafisha
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, mmekuwa ni kikwazo kikubwa cha ujio wa Starlink

    Star link Elon musk analeta Satellite Kenya itakayotoa mawasiliano kwa LTE mobile phones, text, Internet, call. Satellite 🛰 ikikaa kenya, hapo. Subscription ni online...Tanzania tumelala Nchi itakosa mapato Source: NTV Kenya: Starlink plans to bring satellite internet direct to mobile phones
Back
Top Bottom