Recent content by mp3

  1. mp3

    JamiiForums Tanzania Lema: Nimepata taarifa za ndani kuwa ninatafutwa na Polisi baada ya mkutano na waandishi wa habari

    Ni umaskini tu lkn nchi hii mm imeshanichosha
  2. mp3

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

    Watu wakisema ukweli nyinyi mnasema wametukana
  3. mp3

    JamiiForums Tanzania Dkt. Azaveri Lwaitama: Kuna kikundi cha watu kinaendesha Serikali. Rais adhibitiwe!

    Issue sio chadema or ccm tunachoangalia anachozungumza kina mashiko ndio pointi
  4. mp3

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lamjibu Waziri Kigwangalla, lasema halifanyi kazi kwa mashinikizo

    Kapimwe milembe
  5. mp3

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtafakari kauli zenu

    Kwa nn cctv camera ziliondolewa siku kashambuliwa lissu ? Kwa siku hiyo hakukuwa na police hata mmoja while siku zote huwa wanalinda hizo nyumba ? Acha ushabiki kwenye sensitive issues Idiot
  6. mp3

    JamiiForums Tanzania RC Mrisho Gambo asema makanisa ya Kakobe yachunguzwe, isije ikawa ni wakala wa Shetani!

    HUKU NAKO NI #KUKENGEUKA; POKEENI #TOBA KUONDOA MKENGEUKO HUU "Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za Dini kwa kuongelea masuala ya siasa" ----------------------------------- Rai yangu: "Codepency leadership" itaifanya nchi hii kuwa ya Mazwazwa....hata neno siasa(Politics) asili yake ni Dini...
  7. mp3

    JamiiForums Tanzania Sakata la makinikia: Mpaka sasa ACACIA wameshajibu na kutolea ufafanuzi tuhuma zote

    Accasia ni sehemu ya barrick ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mp3

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Motor Vehicle Licence janga kwa wananchi wa kawaida

    Road Licence ni Tshs 290,000/= wameondoa na kuweka Tshs 300 kila Ltr na sasa kwa Truck inayotumia Ltr 3000 kwa mwezi inakuwa Tshs 900,000 x miezi 12 = Tshs 10,800,000/= ni sawa na cost ya Road License imepanda x 38 na ikiwa Gari imetumia Ltr 1,500 tu kwa mwezi basi cost ya Road Licence imepanda...
  9. mp3

    JamiiForums Tanzania A Compromised Possibility: Iweje Ripoti ya Kamati ya 2 iibukie Acacia-London kabla ya kwa Magufuli?

    Kaka shika jembe ukalime nimefanya more than 6 yrs bulynhulu nawajua vzr utaumiza kichwa chako majibu ya pm bungeni juzi tayari yametoa picha mwisho wa hill sakata makao makuu yako London accacia Canada ni sehemu ya barrick London so kufanya hyo press London wako sawa
  10. mp3

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya kutishwa, Ruge Mutahaba muda mfupi ujao anaenda kupingana na ushahidi uliokuwepo

    Acha uwongo wewe mm naangalia ruge kaweka wazi kila kitu hajamtetea kwa chochote
  11. mp3

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Mvunja sheria kwa kesi za kutengenezwa
  12. mp3

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Hasikuumize kichwa huyo le mutuz ni mpambe alafu ukiangalia na umri wake anatia aibu nilimsikiliza kwenye 40 ya mtoto wa pili wa diamond alichokuwa anaongoe nikajiuliza hivi kumbe wapambe bado wapo shame on him
  13. mp3

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mimi sio mwanasiasa, sitafuti sifa za kijinga

Back
Top Bottom