Recent content by mp kwetu

  1. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Nani hupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CHADEMA? Wajumbe wanatokana na nini?

    Watu mbona mmekwepa swali
  2. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Lissu ameshamshinda Mbowe!!

    Km kuna mifumo kizuri ya uchaguzi anaweza kupigwa ila km ndo km mifumo ya Magogoni tusahau
  3. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Wapinzani wamekubaliana kuunganisha nguvu uchaguzi mkuu ujao, nani apeperushe bendera yao Urais 2025

    Mifumo tu iliyopo ndiyo inayofanya wapinzani kutojiamini
  4. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Kikwete
  5. mp kwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Madaktari wafanya maandamano kushinikiza Serkali kusikiliza madai yao na kuboresha stahiki zao

    Sisi hatuombi kufika huko
  6. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Nani anafuatilia Machozi ya wanyamapori katika mbuga ya Selous ambayo JNHPP imejengwa katikati yake?

    Bwawa limeishajengwa kwa aslimia kubwa na miradi ni km unaelekea kukamilika hivi mie nachoona wale watanzania ambao wamekumbwa na hili ni bora wakatafutiwa Maeneo ili wahamie maisha yaendeleee
  7. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

    Binadamu huwa tunakisia jAmbo ila Mungu ana mipango yake
  8. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Poleni sana wanachuga aka wadudu Mungu atawasimamia
  9. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Ushawishi wake kwa wanandoa unapotosha pakubwa najua kila lifanyikalo lina Shelia na katiba yake na tukiingia kisimani kuna vitabu vitakatifu je yeye hayo aliyafanya kwa mjibu wa maandiko au ni mihemko yake tu,je waumini atakawowaongoza nawe watamani waachiwe ili wakatimize ndoto zao
  10. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Shillingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya

    Ninachokiona nchi sasa iende ikaboresha viwanda vyetu ili tupate bidhaa imara na bora ili tuache kutegemea maarifa ya nje.
  11. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Hapo wameipu tatizo la wizi wa mafuta kwa sababu dereva hatakubali kuliacha gari lina dizeli wakati wanapewa na serikal
  12. mp kwetu

    JamiiForums Tanzania Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Vpi uchonge kinyago mwenyewe kisha kikutese??
Back
Top Bottom