Kwenye maisha au safari ya mafanikio lazima kuwe na dhoruba, ukikata tamaa utakaa kwenye hiyo dhoruba ukijituma utavuka hiyo dhoruba na neema itakuja. Usikate tamaa maana ukikata tamaa Baraka zako zinapotea.
Jitume kwa kazi unayoifanya Usiogope vikwazo na Maneno Ya Watu bali fanya kile moyo...
Jitabue na jithamini,
Kwa hali ya kawaida tu unaweza usielewe namanisha nn lakini kumbuka ya kuwa Mungu alivyo kuumba wewe tofauti kabsa na mtu yoyote hapa dunia hii inamaana gani Mungu ameweka kipawa ndani yako cha kipekee sana kabisa yaani hicho kipawa kama utabahatika kukijua hakika maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.