Recent content by mozeh

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wale tuliopoteza muda shule kusoma tukutane hapa

    Inaumiza sana na kuchoma sana ukiwaza muda uliotumia kupambana na elimu, wazazi, jamii na ndugu wakitegemea meng toka kwako.. kuna muda nawazaga pengine mistake yang kubwa ilkua ni kufaulu form 4.. ningefeki form 4 pengne ningekua mbali sana.. umri unaenda, majukumu yanaongeka
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu yapoje?

    Tumeni link ya majina basi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 ya kifo cha Magufuli: Haya ndiyo mabaya yake katika utawala wake

    Umejuaje kama ni uongo au ni ukweli mkuu??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Ukimpiga kafiri unapata thawabu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima akabidhi ambulance mpya Kawe

    Vp mmeshapelekwa Birmingham??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Necta wanazingua sana aisee.. imagine kuna dogo nlkua namkimbizia phyz na namba dogo alkua shallow sn mwisho wa cku necta kapga one ya nne.. nkabaki nashangaa japo nmempka mwnywe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Dah nampata huyooo kipnd yupo form five me nipo zang form two azaboy apo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kufukuzwa kusoma somo la chemistry ilhali wamepata grade "C na D"

    Dah ila hii elimu aisee yani unakuja kutibiwa na dokta ambae ata wewe biology unaijua kushinda yy.. mtu ana D ya biology af anakua daktari aisee
  9. M

    JamiiForums Tanzania Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    To awaken, strengthen and feed our hungry minds... atar sana nimepga apo 2015 mpk 2017 advance bonge moja la shule
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nina tabia ya kupenda kucheka sana. Je, ni tatizo?

    Nyege mshindo hizoo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali haoni haja ya kutimua walimu wote waliounga unga elimu zao?

    Hii kada ina uozo mwingi sana aisee...nilkua namuona mpwayungu anawaonea walimu ila kiuhalisia walimu ni watu wa ovyo shule za dsm kila siku michango kuna shule kwa siku mtoto anaenda na 3000 et ya spidi test na chakula ukicheki anachofundishwa ni zero na hyo mitihan ni zero vile vile.. walimu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali haoni haja ya kutimua walimu wote waliounga unga elimu zao?

    Ntafanya ivo mkuu maana nna kama miezi 6 tangu niingie kwenye hii kada.. nmegundua hii kada inahitaji revolution kubwa sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali haoni haja ya kutimua walimu wote waliounga unga elimu zao?

    Bongo mwalimu anafurahi mwanafunz akifeli..
Back
Top Bottom