Recent content by mozed

  1. mozed

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukonda bila sababu

    Wakuu mimi sasa nina 30yrs but uzito wangu ni mdogo sana nina 47kg na hauongezeki kabsa nina kama miaka 3 sasa uzito upo constant shida inaweza kuwa nini na nifanye nini uzito uongezeke??
  2. mozed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    Mkuu huyo ana mapepo nimeshakutana na sampuli ya hivi unaweza omba ardhi ipasuke
  3. mozed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chukua muda wa kuzipumzisha hisia

    Ni hatar sana boss ilifika mahali nkawa naskia maumivu makali sana ya moyo naimani kama nisingechukua maamuzi magumu mapema saa hii nisingekuwa napost jf
  4. mozed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chukua muda wa kuzipumzisha hisia

    [emoji123][emoji123]
  5. mozed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chukua muda wa kuzipumzisha hisia

    Aksante kaka Mshana kwa ujumbe mzuri . Nilijifariji nimvumilie labda atabadiika Lakini ikawa kila siku afadhali ya jana,niliumia sana kumwacha aende siku za mwanzo lakini kwa sasa naona kama na recovery ingawa bado mawazo yananitesa nataman tungesikilizana na kuelewana naimani tungezeeshana...
  6. mozed

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dondosha mzee baba Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mozed

    JamiiForums Tanzania Kioo used kinahitajika

    Mkuu unacho hicho cha note 3??
  8. mozed

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hili treni lingesomeka kanjibah angelia kilio cha samaki
  9. mozed

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    We jamaa ni balaaaa salute broooh
  10. mozed

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu tupia na leo tukufuate
  11. mozed

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye samsumg A20 iliyonyooka isiyo na makàndokando anichek inbox
  12. mozed

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji28][emoji28]
  13. mozed

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Chelshit wamesepa na ka mtaji kanguu daaah huu mchezo hauitaji hasira...
  14. mozed

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu naomba possible ya hiyo moja ya msl niruke nayo
  15. mozed

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuuuh prof we ni hatari... tupia mwingine mzee baba
Back
Top Bottom