Recent content by Moyomwema

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

    Sidhani kwa sababu sijawahi mpa jukumu la kununua chochote, cha wanangu na sehemu kubwa najihudumia na nahudumia wanangu katika hali ya ugumu ila najitahidi misimtegee mtu katika maisha yangu. Kwake nilikuwa nahitaji faraja tu basi huduma zake alikwa anatoa mwenyewe kwa kupenda na si...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

    Asante kwa ushauri, nitauzingatia ule wenye kujenga
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

    Sio wawili, watatu. Rudi soma tena, sijawahi kuwa na mahusiano zaidi ya hayo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

    Nina miaka 34 sasa nikiwa mama wa watoto 3, hakika sina budi kukubali kuwa mapenzi hayanitaki tena hayanipendi kabisaa, japo niliyapenda na kuyapa thamani katika maisha ila nimeangua sina budi kuyaacha rasmi kuanzia leo. Historia yangu kwa ufupi, Mpenzi wa kwanza. Huyu alinionesha mapenzi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nipo kariakoo shimoni natokaje wazee

    Nisubiri hapo hapo nakuja kukuchukua mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa darasa la saba wanatarajia kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kesho

    Nawatakia mitihani myema akiwemo my first born anafanya mtihsni hio kesho maombi yenu muhimu mnoo jamani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari! mududu kaniingia sikioni tangu jana anazingua!

    Chukua mafuta ya kula tia kidogo ndani ya sikio halafu inamisha kichwa kwa upande wa hilo sikio
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa maisha kwa kumbaka mwanafunzi Babati

    Sasa yupo jela maisha hiyo milioni NNE anaitoa wapi au anailipa nani hebu nisaidieni wenye uelewa hapo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanafunzi wa darasa la tatu afariki dunia alipokuwa akichezea mabomba ya maji na wenzake

    Jamani hii shule Mimi nilisoma LA kwanza mpaka LA saba naelewa hayo mabomba ya tuwasa yapo miaka mingi tulikuwa tuingia kwenye mabomba halafu wengine wanabaki nje wanasukuma yanabingirika rukiwa ndani ilikuwa in mchezo pendwa shulleni hapo au Yale yanayotoka juu ya kilima mile cha filter...
Back
Top Bottom