Recent content by Moyobaridi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Ndio nikasema Allah ndie mmpaji..ukipoteza kitu na halali yako kitarudi kama si kwako watoto wako.. muhimu saana tena saana tena saana " EPUKANA NA DHULUMA.HATA KAMA KAMA ANAUZA KARANGA KWENYE KIKAPU USICHUKUE BILA YEYE AKUPE UKICHUKUA BILA RUHUSA WEE NI DHALIMU MKUBWA ""NA UTAILIPA.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Kusema kweli kuna uchungu wake kwa wale ambao hawaujui..na hakuna asiye kuwa na makosa..ukitaka ukweli basi usipandishe hasira..marehemu baba yangu alikuwa wa kwanza kumpa maji ya kunywa 1958 mwalimu pale pangamlima njia ya tanga.. mwalimu alipokwenda UK kabla ya uhuru marehemu mzee thabit...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini China inapendwa na Marais wa Afrika?

    Mnapozungumzia kitu kama hiki muwe kidogo mnajuwa nawaya za kichina. Wachina katika mikataba yao hawana weaknesses ya lugha. Wanaandika simple language na vizingiti waziwazi muhimu wao ikiwa project yako billion moja wanakula 2 halafu sasa angalia balaa inayokuja utalipa mpaka akhera.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

    Kuhusu mada hii..ukweli tu serikalini hakuna ubaguzi wala uraiani..utajiri ni wa Mungu...waliobakia wanafanya biashara.. katika biashara kuna kufanikiwa na daraja mbalimbali aliye pata zaidi wastani na wa kawaida.. huu wa kawaida ndio zaidi ..ambao huwezi sema matajiri..sasa kusema wahindi...
Back
Top Bottom