Nawapa pole wazazi waliofikwa na msiba. Nimesikia kuwa hats Rais wa Kenya Mheshimiwa Kenyatta alisimama kwa muda kwenye mikutano take ili kutoa salaamu kwa ajili ya watoto hao. Sisi wahusika tamko letu likoje.
Substitute ya ziro ni kufanya kazi kwa viwango usivyoweza kujipima ufanisi ili jamii ikuamini. Mfano enzi za Mrema alitumia Polisi ili aonekane anafanya kwa ufanisi kumbe alikuwa anatumia mabavu bila ufanisi. Ndiyo maana Wizara ya kazi ilimshinda.
Ondoa matumizi ya Polisi ndiyo upime utendaji. Usisahau enzi za Mrema kama Waziri wa Mambo ya ndani na Mrema Huyo huyo Waziri wa kazi. Utendaji ulikuwa wa tofauti sana.
Kulikuwa na sababu gani ya kukodisha MTU kumzuia asishuke kwenye gari? Au alikuwa na ugomvi na nani hata akodishe watu wenye silaha. Nini kwa wakati huo kilikuwa kinaendelea upande wa Pili. Polisi wote wanavaa safe?
Pengine mauthui ya Tume hayajui. Taarifa ya Tume imetosha kutufungua macho sisi tuliokuwa tunahoji taarifa za mitandao. Pia imeonyesha umahiri na umakini wa Waziri Nape. Sijaona siasa kwenye ile taarifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.