Recent content by movie pitcher

  1. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

    Hyo haikua Mara ya kwanza Lowassa kukatwa hvyo cdhan kma kuna fitna kwa JK bt ypo mambo meng CCM wanayajua khs mheshimiwa ndo mana hawampi kiti cha urais. JK was very fair kumpa uwaziri mkuu cheo ambacho hakuna aliyewah kumpa na kma Nyerere angalikua hai cdhan kma angekipata Sent using Jamii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

    Kwa kua akili zenu zimefanana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

    CCM ni mzaliwa wangu wa kwanza asema BWANA Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Sirudi CCM pamoja kuwa nitateseka kwa visasi hivi

    CCM ni ileile Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Sirudi CCM pamoja kuwa nitateseka kwa visasi hivi

    Time will tell but it can not go against the truth Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Sirudi CCM pamoja kuwa nitateseka kwa visasi hivi

    Ahsante sana kwa kulitambua hilo. Kisasi si kazi yako ni kazi ya Mungu. Kwa hyo we kaa kimya tu Mungu atakulipia kma kweli ulikua na haki katika kujipatia hayo mashamba wakati ukiwa waziri mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuacha kupiga Nyeto ni ngumu sana.??

    Chukua unga wa pilipili manga changanya na maji ya moto kisha jikande kwenye uume kutwa Mara tatu kwa muda we siku 21 utaona jinsi utakavyokua na nguvu kma simba dume Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kanisa Katoliki kutokuwafanyia maziko ya kikanisa baadhi ya waamini wake

    Maelezo yaliyotolewa hpo mbona sioni msingi wowote wa kiimani zaidi tu ya kisasi na kukomoana kwamba eti kwa kua alikua hajatimiza baadhi ya vifungu Fulani basi kanisa nalo linagoma kutoa huduma kwake, enyi mafarisayo wanafiki. Yule mwanamke aliekamatwa akizini alipofikishwa mbele ya Kristo Ili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM wajifunze kwa wenzao wa Jubilee ya Kenya

    Labda kama unaifahamu kwa juu juu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM wajifunze kwa wenzao wa Jubilee ya Kenya

    Asiekubali kushindwa si mshindani" kwan aliekwambia kua CCM walikua wanashindana ni nan? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom