Recent content by mountana

  1. mountana

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mbna nmemlipia mtu mwingne hata week haijafika amepata hii inakuwaje au niweke na ushahid Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  2. mountana

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu zetu tanesco tumemlipia bibi yetu umeme ni mwezsasana mpka leo hawajamwekea akienda wanampa kalenda tunaomba msaada na bibi zetu wanakaa vijjin ni mbali na tanesco taarifa zake zipo hapo msaidien ,nikipata msaada natrus kushukuru pia nkikosa ntatafuta mbinu zaid Sent from my Infinix X657B...
  3. mountana

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Najua kuna taratibu na zmeshafanyika mmetufanyia tathimin maana yake mtulipe au tulifikishe ngaz za juu maana mnakuja kila siku na story mpya na pesa kutoja hazina za kutulioa mshapewa kwa nn hamtulipi uliza swala kwa wahusika uje na majibu ya msing kama had mbunge wetu mnamuongopea au Sent...
  4. mountana

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco malipo ya fidia ya mradi wa 400 KVAKINYEREZI MNATULIPA LINI FIDIA ZETU MLIKUJA MKASEMA WEEK YA MWISHO WA MWEZ WA SITA SASA NI MWEZ WA SABA NA UNAENDA KUISHA MMEMWAMBIA MBUNGE NA MWENYEKITI WETU KUWA MTAKUKA TAREHE 17 MWEZ HUU TUNATAKA MALIPO KAMA HAMUWEZ TUAMBIENI TUENDELEZE MAKAZ YETU...
  5. mountana

    TANESCO mnatulipa lini malipo ya mradi wa 400 KVA Kinyerezi

    Tupo wengi sana km wananchi 180 hakuna aliyelipwa Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  6. mountana

    TANESCO mnatulipa lini malipo ya mradi wa 400 KVA Kinyerezi

    Nyama hatuzifikii toka 2016, ardh ni hazina km hawatulipi tuendeleze maeneo yetu sisi. Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app.
  7. mountana

    TANESCO mnatulipa lini malipo ya mradi wa 400 KVA Kinyerezi

    Pesa wamepewa na wao ndo wamesema pesa za malipo wamepewa toka hazina na katibu mkui hazina kathibitisha tatzo lipo kwao Tanesco.
  8. mountana

    TANESCO mnatulipa lini malipo ya mradi wa 400 KVA Kinyerezi

    TANESCO Mmekuja mwanzoni mwa mwezi wa sita mkasema mnatulipa wiki ya mwisho wa mwezi wa sita sasa ni tarehe 6 mwezi wa saba hamjatulipa na tumesubiri toka 2016. Kama hamtulipi tupeni mamlaka ya kuendeleza maeneo yetu tumechoka, wiki ikiisha sasa wengine tutalilipoti kwa Rais Samia.
  9. mountana

    Nimekosea kutuma maombi TAMISEMI naomba kusaidiwa

    Duh ustawi wa jamii lessen ya nn tena
  10. mountana

    Nimekosea kutuma maombi TAMISEMI naomba kusaidiwa

    Nilikuwa naomba ajira ya ustawi wa jamii sasa sikujua kama ipo afya au ualimu nkachagua ualimu so nataka niedit iwe kwenyw afya nashindwa msaada kwa anayejua.
  11. mountana

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Mm nilikuwa naomba nafasi ya afisa ustawi wa jamii nikajua ipo sekta ya elimu sasa nataka nirudshe kwenye sekta ya afya nakosa sehemu ya kuedit
  12. mountana

    Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

    Unafikiria vng yaan katoka hm kapanda gar kafika kavua jamaa kaweka katulia tuu aaaaah bora tuachane
  13. mountana

    Kama Ulikuwa haujui, Basi Hivi ndivyo Wanawake Walivyo

    Tatizo vijana wanakurupuka sex siyo lazima uwe na mtalimba hata kibamia tu demu analizika na ukwl ni kwamba ikiwa na uume mkubwa dk ya mwisho mwanamke anaishia kuumia tuu
Back
Top Bottom