Recent content by mountain climber

  1. M

    Pasu kwa Pasu: Shilingi bilioni 318 za Pep Guardiola kugawanywa baada ya mke kudai talaka, Mke ataja sababu ni Pep kuwa busy sana

    Nilikuwa simuelewi Trump ila kama atafanya iv nitamchukulia bonge moja la kiongoz....
  2. M

    Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni

    Unampa uraia mchezaji ana miaka 35....poor my kanteree....kweli viongozi wanatuchukulia raia hamnazo
  3. M

    Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

    Kuna medium jirani na nilipo ....wamejaza Hadi wanawakataa watoto....ni uchumi wako tu ndo unafanya uwaze tofaut
  4. M

    Mtoto aliyeibiwa Pwani akutwa Ruaha Morogoro

    Hawakufa bhna mshanaa..fuatilia taarifa vzur
  5. M

    FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

    Ni mfumo wq maisha ya Dunia tu ..Kila mmoja atapitia maumivu kwa namna tofauti....
  6. M

    FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

    H hahah...pole mtan...naona vile umejawa na maumivu
  7. M

    FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

    Walikuwa wanatangaza biashara ya boss wenu jesemu...
  8. M

    Israel na Hamas wakubali kusitisha mapigano eneo la Gaza

    Walifikir wakifanya vile watarud mezani kujadiliana...ila wakakutana na lile kelbu ya kufanya uanguke chini huku network zimekata
  9. M

    Israel na Hamas wakubali kusitisha mapigano eneo la Gaza

    Hawatakaa warudie huo upuuzi wa kushambulia...Sasa hiv wakajikite kurudisha miundo mbinu na wakae kwa kutulia..tofaut na hapo ni kichapo tu
  10. M

    Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

    Duuh...mbona hatari...huko juu nmeona wanasema inatibu ulcers...ila ushuhuda ndo hakuna
  11. M

    Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja

    Anaiona halafu hapewio...alooooh...
  12. M

    KERO Miaka Saba nasubiri Namba ya Kitambulisho cha NIDA

    Niende moja kwa moja kwenye jambo ambalo limekuwa changamoto na kero kwa Watanzania walio wengi. Kero yangu naipeleka kwa mamlaka inayohusika na kutoa vitambulisho vya taifa (NIDA). Kuna baadhi ya watu wamekosea taarifa kama vile alama za vidole kuingiliana, na mwishowe wamekosa namba. Mtu...
  13. M

    FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

    Yani nyie muwe rojorojo mgongwe game mbili zote...Leo mnaombea wenzenu wafunge Ili mfufue matumaini...wkt wenzenu wanafunga mlikuwa wap?
Back
Top Bottom