Yani eti Top 5 Hakuna Prison Break,Money Heist wala Vikings. Peaky Blinders imepitwa na Adolescence lol.
Hii list ya Mchongo,cjui huo ubora wamezingatia Criteria gani
Habari za muda huu wakuu.
Nilikua najiuliza, Je,kuna ulazima gani wa Traffic kusimamisha magari kwenye foleni ili kupisha misafara ya viongozi kwa muda mrefu? Yani unakuta gari zinasimamishwa kwa muda wa dk 30,45 au saa nzima eti tu kwa sababu wanasubiria kiongozi apite.
Je,huwa ni kutokana na...
Sijui kwa wengine,ila kwangu mm kilimo seems Practical zaidi. +Naamini kwenye Ardhi ndipo ilipolala Generatinal Wealth.
So Kama una madini kuhusu kilimo ambayo unaona ni rare na Vijana tunaweza kujikwamua kiuchumi kupitia hapo,tafadhali usisite kutujuza
Kwa mtazamo wangu mimi kama kijana hizi sio ideas za kuteletea sisi kutoka "nchi mbalimbali" ulizozunguka,cause mtu kufanya issues kama hizo hakuwezi kukakutoa(kwa maana ya kukuweka kwenye ile true financial stability) zaidi sana kutakusaidia kupata pesa yako ya kukidhi mahitaji,labda na...
kwa mantiki hiyo basi,we endelea kulia na hawa viongozi wanaotuandaa sisi kitaaluma.
Mwanzoni nilimisunderstand kuwa unatutupia lawama sisi wanafunzi.
Lakini mimi nitasimama pale pale,huo mfumo wa kuwaandaa wanafunzi kuja kuwa na uwezo wa kiuchambuzi haujawahi kuwepo katika nchi hii toka hapo...
mimi hapo nimekuelewa mkuu.
Lakini kwa upande wangu suala la uelewa halihusiani na mfumo wa elimu,akili mtu huzaliwa nayo tu.
kama ilivyokua huko zamani kuna watu waliokua na uelewa mkubwa na wengine mdogo,basi hata sasa ni hivyo hivyo.
Kuwa exposed na Technology sio jambo baya,matumizi ya AI na...
sasa mkuu,si ni nyinyi ambao mumekuzwa kwenye "mifumo thabiti" ndio ambao mmetuletea sisi wanafunzi wa sasa mifumo ya kubebwa tuliyonayo sasa?
Na kwa uelewa wangu toka zamani nchi yetu haijawahi kuwa na mfumo Competence based zaidi sana nyie mliosoma zamani ndio ambao mnadai kwa sasa wanafunzi...
Yani mm hapa mtaani ukitaja Jamii Forums watakuuliza ndo taasisi gani hiyo? Ipo chini ya wizara gani?😂
Marafiki zangu wengi(kama sio wote) ni Tiktok,IG,Snapchat.
Sema siwalaumu since we are all Teenagers ndo wakati wao huu.
Mm JF,Reddit,X ndo mitandao yangu. Wananiona wa ajabu kweli yan😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.