Recent content by Mount Kibo

  1. Mount Kibo

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Huyu ni Gen Muhidin Kimario
  2. Mount Kibo

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Wakuu Hii kitu naipataje?
  3. Mount Kibo

    Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Nchi hii kwa mahakama hizi hata Hitler angeshitakiwa bado angeshinda kesi
  4. Mount Kibo

    Nimeishi Urusi najua Tamaduni zake, pamoja na Ukubwa wa Jeshi lake Rushwa ndiyo inawafanya wasikamilishe malengo kwa muda

    Bado hii ngonjera ipo sahihi?Marioupol ipo ktk hatua za mwisho kuchukuliwa sijui kama ndoto zako bado ni zile zile.Subiri kesho saa 12 asubuhi muda wa mwisho kuondoka raia kiwandani then utajua kuwa shetani NATO na vibaraka wake hawajui.
  5. Mount Kibo

    Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

    Wewe na mimi tupo ubashiri wako hautatimia.Ikifika wamepewa siku 3 kuanzia leo hadi Jumamosi ambayo ni siku ya mwisho waliyopewa kuondoa raia kiwandani hapo utaona kitakachotokea pale.Baada ya Zelensky kulialia bado wapo raia Putin kaagiza wasimamishe kuwapa muda hadi jumamosi saa 12 wawe...
  6. Mount Kibo

    Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

    Hahahaa acha nilale nshapata ugali maharage dozi hadi ya kesho.Hii itanisaidia kuota ndoto zisizo na ukweli kama hizi
  7. Mount Kibo

    Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

    Mleta uzi ameandika kama vile amesoma mambo yanayotokana na hotuba ya Biden,Boris,NATO....Kama kweli Ukraine wakisaidiwa na mashetani wauawaji wa Magharibi anapata mafanikio kiasi hiki,Iweje kila siku mcheza sinema anazidi kulia kuomba misaada na kutaka kuonanana na Putin.Mara ya mwiaho walisema...
  8. Mount Kibo

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Ahsante sana,Umetoa elimu kwa wale manazi wa Kayafa.
  9. Mount Kibo

    Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

    Mlishauriwa kama mnampenda sana mkazikwe naye.Acha utukana matusi kama alivyokuwa kaifanya Kayafa ambaye alijisahau kufikia kujivika Umungu.
  10. Mount Kibo

    Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

    Ujinga mtupu hakika upurofesa Tz ni mzigo.Yaani Purofesa huyu haamini waarabu kwa sehemu kubwa walijihusisha na biashara ya utumwa?Hata waarabu walipoendelea na biashara hiyo wazungu ndo waliikomesha.Huyu hajui lolote zaidi ya ud....
  11. Mount Kibo

    Mpango wa kumchafua Mbunge Saashisha Mafuwe wanaswa, Mbowe na Raia wa Sweden wahusishwa

    Unamchafuaje aliyemchafu?Achana na ujinga mamboleo hii ni dalili ya kuelekea kwenye upumbavu
  12. Mount Kibo

    Lutheran Primary School Moshi ilivyokuwa 1958 na sasa

    Nakupa salute mkuu.Hakika wewe ni mmbobezi mwenye weledi kwenye historia ya Tz kabla na baada ya uhuru.Mwenyezi Mungu sub hannah akupe maisha mema na marefu yenye amani uendelee kutuhabarisha.Wewe ni hazina.Nikutakie Ramadhan Kareem.
  13. Mount Kibo

    Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

    Kwa Wambura kuwa IGP inakuwa ngumu maana itaonekana kama mkoa huo wanapokezana ukuu wa polisi
Back
Top Bottom