Kwa vikwazo hivi wanategemea mabilionea hawa watumike kumshauri Putin aache shambulia Ukraine ili mali zao zibaki salama? Au ni kumwonea perege kwa kosa la kambale?
Siasa zenye tija sasa hivi ni kuipata #KATIBA MPYA na kazi inaendelea. Tuondoe mamlaka ya watawala kuwaweka ndani watu wasio upande wao na kuwatoa wakitaka. Ili haki na sheria zisimame zenyewe kuamua badala upendeleo na maagizo ya watu. Kuwa na wazo mbadala si kukiuka sheria wala kutotii mamlaka.
Tanzania tunahitaji haki ijisimamie yenyewe. Kuondoa huu uwezekano wa watu fulani kuweza kuwaweka korokoroni wengine kwa sababu na maslahi yao na pia kuwatoa. Haitoshi pongezi na shangwe ziimbwe kwa haya. Yapasa kuwa na haki iliyo huru na kweli. Uadilifu ni msingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.