Recent content by moulaa

  1. moulaa

    habari wana jf

    jaman nilikua naomba mwenye key za folder lock 7 anisaidie,,
  2. moulaa

    za jumapili wana jf??

    daah! THANKS MAN,,, T help,,,
  3. moulaa

    za jumapili wana jf??

    help!!!!
  4. moulaa

    za jumapili wana jf??

    jaman m natafuta license key ya Ashampoo 10,, zmebaki cku 4 iwe deactivation,,, plzz
  5. moulaa

    Jinsi ya kujua jinsia ya computer yako!

    Daah!!!! mi yangu demu,,,, hahaaaaa!!!!
  6. moulaa

    Habari wana JF??

    Za saa hizi jaman?? naomba mnisaidie serial number za hizi program Reg Tweaker na Agronis Disk Director 11 home plz msaada jaman???
  7. moulaa

    habari wana jf

    eti unapo install win xp kwenye laptop iliyoandikwa designed for windows vista au 7 hua ina miss audio na vga. hua nn??
  8. moulaa

    Habar zenu

    Jaman za siku,, hivi ni jinsi gan ya kutoa jailbreak ya Iphone 3g... i need help...
  9. moulaa

    habar za siku wana jf??

    hapana ni mihangaiko ya mitihan ya chuo na ma fild tunayopewa,
  10. moulaa

    habar za siku wana jf??

    nilipotea kdogo sababu ya mihangaiko,, naombo kuulza hzi laptop min sana sana za acer unakuta znawaka halafu hazdisplay ni jinsi gan ya kutatua tatzo?? hli??
  11. moulaa

    Hatimaye Zantel wamestukia uchakachuaji

    asa ameweka za nn hzo proxy number wakat teyar zmctishwa,, tulivyokua tunaomba alikua hatuoni??????
  12. moulaa

    cn raha kabisa...

    sawa nimeelewa now,,,,,,:laugh::laugh:
  13. moulaa

    cn raha kabisa...

    aaah!!! ila hata nikiweka line ya tigo inakimbiza knoma
  14. moulaa

    cn raha kabisa...

    Habar zenu???nina modem ya airtel nimeshaiunlock ila nikiweka line ya zantel inakua slow kweli,,, sasa sjui kwanini?? au nifanye nn??
  15. moulaa

    Msaada wa connection ya Zantel Modem kwa Ubuntu 10.04

    ubuntu 10.04 inasumbua kdogo ila ubuntu 10.10 nzuri sana,,, fanya hvi click pale kwenye system then preferences halafu click network connections kitatokea kbox kna option nyingi we nenda kwenye mobile broadband click sehem iliyoandikwa Add.. sasa hapo utafuata maelekezo unavyotaka iwe...
Back
Top Bottom