Recent content by Mouber

  1. Mouber

    SINGIDA: Mbunge wa CCM Daniel Mtuka, ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuua mwanafunzi

    Sasa Wewe Na Yeye Ni Nani Kaleta Siasa Kwenye Mambo Yasiyofaa??? Au Siku Hizi Kupimwa Mkojo Ndio Kipimo Cha Uchochezi Kweli????
  2. Mouber

    Mbowe kung'olewa uongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni

    Mkuu Naona Majukumu Yamekuzidi Umri Mana Si Kwa Kupotea Huko... Au Ulikuwa Unaumwa???
  3. Mouber

    Angalizo: Joseph Kasheku Msukuma asisahaulike

    Kweli Taifa Hili Linawatu Wapuuzi Sana . Yani Mambo Yanayohitaji Utaalamu Halafu tumpeleke Standard Seven Yule Kisa Tu Anapata Nafasi Ya Kuongea Bungeni??? Ifike Mahali Watanzania Tujitathimini Na Kujitambua Vitu Tunavyohitaji Na Kuvipigania..
  4. Mouber

    Sitarudia kuitetea tena CCM. Nimechoka

    Mkuu Hivi Ni Lini Umehama Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo ( CHADEMA ) ??? Mkuu Wewe Sio Ndio Ulitangaza Nia Ya Kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Kupitia Chama Chako Pendwa Cha CHADEMA... Kama Propaganda Zimeisha Basi Jitahidi Kuingia Chimbo Ili Kuleta Propaganda Zenye Mashiko. Mwenyekiti Wetu...
  5. Mouber

    Kama TLS watachagua mwanasiasa itakuwa ndio mwisho wa uhusiano wa serikali na TLS

    Naona Mmejaribu Kila Aina Ya Figisu Figisu Kwa Mh Lissu So Baada Ya Kuona Mmeshindwa Ndio Mmeamua Kuja Na Hii Ya Kujitenga na Serikali.. Mlichokuwa Mnakiomba Mmekikosa Sasa Hivi Mmeamua Kuja Kivingine Ila Kwa Mtazamo Wangu Mmechelewa Sana Mana Uchaguzi Ni Kesho Tu Hapo
  6. Mouber

    Magufuli ulimtembelea Sumaye. Ina maana na wewe msaliti?

    Mkuu Samahani Acha Tu Watu Wakuze Mambo Ya Udaku Mana Hata Anko Magu Mwenyewe Ni Mdau Mkubwa Wa Mambo Ya Kimbea Mbea yani Ni Mfatiliaji Nzuri Tu Wa Kipindi cha SHILAWADU (Shirika la Wambea Duniani) Me naona Shilawadu Haina Tofauti sana Na Udaku so Tumlaumu na Rais Wetu kwa Nini Anapenda...
  7. Mouber

    Wafuasi wa CHADEMA mitandaoni tuige Mfano wa Lizaboni wa CCM

    Kupewa Sifa Katika Dunia Hii Mara Nyingi Huwa Ni Adimu Kweli Kweli So Ukijiona Kuwa Unafanya Jambo Nzuri Katika Jamii Na Hakuna Anayeona Mchango wako Basi Yakupasa Kutafuta Namna Ya Kujisifia Ili Kutengeneza Tension Kwa Watu Wanaokuzunguka...!!! Na Ndio Hiki Kitu Alichokifanya Mkuu Lizaboni...
  8. Mouber

    Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

    sorry mkuu hivi umewashauri na tbc kutuomba radhi watanzania kwa fake news juu ya mkuu wa kaya????
  9. Mouber

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Mkuu Nimefurahi Kukuona Tena Leo Hapa Na Nilikuwa natamani Nijue Kuwa Ulipatwa na Nini.....!!!! Nikiona Post Yako, Barafu, Pasco na Gentamycine basi huwa Nafarijika kweli Mana Najua Kabisa ni Wazee wa Nondo
  10. Mouber

    Kujiuzulu kwa Mzee Said Arfi: Somo jingine kwa Chadema

    Kwa Hiyo Huyu Mzee Manake Ametafuta Kiki Leo daaaaaaah Maisha haya hayako fair kabisa si Bora Angesema tu kuwa alishaondoka Chadema Tangu Mwaka 2013?????? Uzuri Wa Jamii Forum Huwa Inaishi so Hapa Ukifukua Kaburi Tu Unakutana na Skull
  11. Mouber

    Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili!

    Ni Kwamba Sofia Simba Ni Mtu Wa Kubebwa Tu so Unataka Kumaanisha Kuwa Muda Wake Wa kubebwa Umeisha Sio?????? Ahsante sana Mzee Wangu
  12. Mouber

    Kuhusu TBC Kutangaza wongo na Kumlisha Maneno Rais wa Marekani Donald Trump

    Mkuu Nimepitia Post Zako Ila Nasikitika Kukupa Pole Tu Mana Hueleweki Kama Unapingana Na Mtoa Mada Ama Unapingana na TBC...!!!! Kwa hiyo Mkuu Nilikuwa Naomba Unifafanulie kama Hutojali Ni Kipi Unasapoti hapo kati Ya Mtoa Mada Na Tbc Ambao Waliorusha habari Ya Trump (Uzushi) Ushauri. Pia Kabla...
  13. Mouber

    EFM yapewa ruksa ya kuruka mikoa 10 ya Tanzania, Nape amsifu Majay. Hofu yatanda Clouds Media Group

    Kumbe Ndio Mana Mkuu Lizabon Akaanza kuleta Taarifa yake ya Kichonganishi kwa Sababu ya Hii Kitu??? Hongereni sana Efm
  14. Mouber

    EFM yapewa ruksa ya kuruka mikoa 10 ya Tanzania, Nape amsifu Majay. Hofu yatanda Clouds Media Group

    Ila Nakupendea Kitu Kimoja Tu... Unajua Kuunganisha Nukta So Kwa Mtu Asiyekufahamu Ni Ngumu Sana Kukuelewa. Unajua Kuumba Uwongo ili Watu Wadhani Kuwa Ukweli Na Ukweli Kuwa Uwongo Kwa Lugha Rahisi Manake Wewe Ni Kizabizabina. Kwako Wewe Mtu Anayeongea Ukweli Huwa Ni Adui Yako So Nashangaa Kwa...
  15. Mouber

    UBUNGO YATOA MSAADA SIKU YA WANAWAKE

    Halmashuri mpya ya Ubungo imetoa msaada wa vitu mbalimbali zikiwamo khanga na sabuni katika Hospitali ya wilaya iliyopo Sinza Palestina ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku Wanawake duniani. “Msaada huu una thamani ya zaidi ya Sh2 milioni, na ni jitahada za kuunga mkono siku wanawake ambayo...
Back
Top Bottom