UBUNGO YATOA MSAADA SIKU YA WANAWAKE

Mouber

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
216
216
Halmashuri mpya ya Ubungo imetoa msaada wa vitu mbalimbali zikiwamo khanga na sabuni katika Hospitali ya wilaya iliyopo Sinza Palestina ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku Wanawake duniani.
“Msaada huu una thamani ya zaidi ya Sh2 milioni, na ni jitahada za kuunga mkono siku wanawake ambayo inasheherekewa leo duniani kote, kwa kuwa ni watu muhimu wa kuendesha gurudumu la maendeleo na kwamba halmashauri hiyo ipo katika kuboresha hospitali hiyo kuwa ya kisasa,” alisema Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ambae ameambatana na maofisa wa wilaya hiyo.

[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom