Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili!

Ni Kwamba Sofia Simba Ni Mtu Wa Kubebwa Tu so Unataka Kumaanisha Kuwa Muda Wake Wa kubebwa Umeisha Sio??????
Ahsante sana Mzee Wangu
Hii ilikuwa ni vita kati ya Ukweli na ubatili, ubatili ulishinda sasa ndio wameona ubatili huo na kuubatilisha kuelekea kwenye Ukweli japo sometimes ubatili huweza kufuatiwa na ubatili mwingine.

Hilo kuhusu kubebwa sio swali ni jibu.

Paskali
 
Back
Top Bottom