Recent content by Motto61

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakumbukeni Wastaafu wa umma pia. Ongezeni Pensheni zao

    Napenda kumpongeza sana Rais Samia kwa maamuzi aliofikia ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali Mungu akubariki. Aidha napenda kuwakumbusha kwamba kusahau ni kwa binadamu, wastaafu waliotumikia serikali na kujenga misingi yake, baadhi yao bado wako hai. Pesheni zao ni ndogo sana na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamuwa kutengeneza biogas digester/plant

    ..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kutengeneza biogas digester anahitajika

    Hayupo ajuaye?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamuwa kutengeneza biogas digester/plant

    itakuwa poa pia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kutengeneza biogas digester anahitajika

    nafasi ya kazi kwa mtu mwenye utaalamu wa kutengeneza biogas digesters. kwa mawasiliano zaidi njoo pm.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamuwa kutengeneza biogas digester/plant

    Nahitaji mtu mwenye ujuzi wa maswala ya biogas hasa kuunda mitambo ya kuzalishia biogas. karibu pm kwa mazungumzano zaidi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Odinga achangia harambee ya Wenje

    Sina haja ya kukunafika kwani unaniletea ugali wewe adi nikunafiki? Mnafiki ni wewe unaempenda Kikwete kwa mahaba aliyemkata Lowassa uku ukijifanya pia kumpenda Lowassa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kikao Cha siri Kati ya Sumaye Na Kikwete kilikuwa Cha nini?

    Weka ushahidi wa picha
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga apinga matokeo, adai ni matokeo ya mashine sio Wakenya

    Ndio mkuu, acha wachekelee saizi ila wasilie 2020 yatapofanyika hayohoyo hapa kwetu.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unabii umeanza kutimia kuhusu Uchaguzi kenya

    Inashangaza watu wanashangilia wizi nchi jirani huku wakiulaani kwao
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushindi wa Uhuru Kenyatta ni ushindi wa CHADEMA

    Mnashangaza sana chadema kushabikia wizi wa kura nchi jirani buku tukilalamikia rafu hizo hizo hapa nyumbani. Mwenzako akinyolewa zako tia maji
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    Wewe umesema kwamba asilimia hazibariki kwa kura chache sijapinga hilo bali nalo taka unielimishe mimi nisiyeelewa ni iweze kwenye " random transmitted results" kura zizidiane kwa milioni 1.4 tangu sa 9 usiku tukiacha mambo ya asilimia?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    Wewe liccm unaejua hesabu iweje masaa yote tofauti ya kura iwe milioni 1.4?
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    yaezekana kweli sijui hesabu na vipi gepu la kura million 1.4 lisilobadilika mda wote hata kura zikija mpya wanaendelea kuzidiana kwa 1.4?
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtabwagwa tena 2020 kama upinzani walivyobwagwa Kenya, msilie lie!

    Si wanasema Uhuru kaimarisha demokrasia ivo hata hili la kuiba kura ni halali ivyo 2020 wasilalamike kuibiwa kura.( nashabikia chadema ila si kumuunga mkono Kenyatta)
Back
Top Bottom