Habari wakuu,
Kwanza nitoe pongezi kwa wale wote waliochaguliwa kwa ajili ya usaili wa mahojiano utakaofanyika kuanzia tarehe 02 Mei hadi 14 Mei, 2025.
Na kwa wale wote walio na malalamiko tayari imetolewa nafasi ya kuwasilisha malalamiko Yao ili waweze kutendewa haki kama ilivyo kwa wale...
Habari wakuu,
Poleni kwa majukumu.
Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB.
Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua inayofuata ya kupata CONTROL NUMBER nakwama.
Sasa najiuliza ni swala la mfumo ndio haujakaa sawa au mtandao...
Habari,
Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- :
* Mafuta ni masafi
* Hayana harufu,
* Sio ya kuchemsha na
* Si machungu
* Muonekano wake unaita.
Mzigo upo Kibaha mjini.
Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
Habari,
Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu).
Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita.
Mzigo upo Kibaha mjini.
Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
👥 WANAHITAJIKA VIJANA 20
1. Wenye stadi, uzoefu na ujuzi katika kutumia "MICROSOFT POWERPOINT" na "MICROSOFT WORD"
2. Wenye muda wa ziada wa masaa matatu(3) hadi manne(4) kwa siku.
3. Wenye kazi kuanzia 2 hadi 4 za "Microsoft PowerPoint Presentation" walizowahi kufanya hapo awali.
4. Wenye...
Habari wakuu, msaada tutani. Naomba mwenye setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked, anisaidie.
Nipo Dar es Salaam. Nijulishe tuyajenge DM. Nitakujali hela ya maji ya kunywa kwa kutumia muda wako.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.