Recent content by Moshi25

  1. Moshi25

    Magori ni kiongozi asiye na hekima, Mo Dewji umetuletea bomu wanasimba

    Mayowe yameanza hata kabla ya derby!
  2. Moshi25

    Kocha Morocco unafeli wapi?

    Kocha Morocco binafsi nakukubali sana, mimi ni katika wale wachache walioamini utaipeleka timu Morocco na nikaposti uzi humu Jf, nimeona wachezaji wanakuelewa sana, tatizo lako kubwa kocha la Afcon ni kuogopa kufungwa kulikopitiliza, timu yetu ya taifa imeimarika, ina uwezo kwanini kila mechi...
  3. Moshi25

    Je, karipio la Rais wa TFF Kwa marefa ita-affect vipi Simba msimu huu?

    Huu ni mkwara tu yule dingi kipara hana lolote, mtoto akitumwa kutukanwa wageni na wazazi huwa hapigwi, Msimu ulioisha TFF walipanga simba kuwa bingwa kwa nguvu kupitia mbeleko ya marefa na makolo wakaangukia pua Msimu huu marefa wataruhusu simba kucheza 12 uwanjani na kipara hatofanya lolote...
  4. Moshi25

    Kenya kapigwa goli 3-1 na Gambia, English haijawasaidia

    Hasira za kufungwa inabidi wafanye maandamano na kuiba mali za watu huku wakiongea English!
  5. Moshi25

    Msaidizi alipotukanwa na mwenye nyumba kwenye veranda, mmiliki wa awali akamwambia tu namaliza mchezo kuwa mvumilivu. 8/100

    Stori sasa ni nyingi mara huyu hapa JF anamnanga Beki tatu mara kule Slow2 hapoi ila kama tunayosoma hapa ni kweli basi tujiandae na udaku mwingi za watu kufa na kuzikana kwa sarakasi za mbogamboga za kila mmoja kutaka kupokea kijiti cha beki tatu, nawaza tu kuwa watauana mno kuanzia sasa mpaka...
  6. Moshi25

    Hongera Bw Magori kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba Sports Club, Mtafute Kaduguda Myamalize ili Nguvu Moja Ikae Sawa

    Mmemkabidhi gunia la lawama, kejeli na kashfa tu, jumba bovu litamwangukia yeye kuanzia tarehe 16! Sasa rasmi kelele za Mangungo atupishe ni zake! hivi Yanga hii unaifungaje? Utopolo sisi ni watu wabad mno!! Hakika makolo guvu moya wameishiwa power kabla ya mchezo kuanza!!
  7. Moshi25

    Ali Kamwe hafai tena kuwa msemaji wa Yanga

    Mkuu Pwilo najaribu kuwaza tu, iwapo wewe ukipewa hiyo kazi ya kijana utaiweza japo robo tu? Kazi ngumu mno yenye lawama mzigo! Huwa nikiandika madude flani ya nguvu ya kisomi pages 40 basi ukosoaji utakuwa grade one toka kila upande, sasa waambie wakosoaji waandike japo one page, hata...
  8. Moshi25

    Polepole anahitaji msaada wa matibabu kuliko kumshangaa

    Season one haijaisha?
  9. Moshi25

    Tetesi: 2030 Rais ni Nchimbi na Waziri Mkuu ni Ridhiwani

    Rais wa 2030 kama kweli tutaiona mi naona anaefaa ni Bashe anapenda actions na data kama Magu, wengine wote waliobaki hawana uwezo na ni vilaza tu wenye majina makubwa kwenye chama, kwanza udini hauna nafasi tena bongo, kwa haki ni zamu ya wapagani mwaka 2030, kisha ifuate zamu ya budha, hindu...
  10. Moshi25

    Hizi Jezi za Yanga za Watoto ni aibu Jezi haieleweki

    Aisee umesema kweli mkuu, mashabiki hatufuatilii wala kuuliza chochote, tunachotaka ni uongozi kuifunga Simba tu!!
  11. Moshi25

    Tetesi: Kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu kutopangiwa Jaji hivi karibuni ili kumkomoa

    Sidhani hiyo ni njia sahihi, watamuacha tu ajifie!
  12. Moshi25

    Picha za Rostam Aziz kwenye harakati

    Wazungu huita conspirancy theories , huwezi kupata hizo classified information kama ni kweli, huwa tukio linafutwa na evidence zake zote wanaita collateral damage!! Ni bora ushike jembe ukalime kuliko kuweka kichwani stori za mambo makubwa ambayo kamwe hutaona yakivuja maana taarifa hufutwa mara...
  13. Moshi25

    Polepole: Mungu akituvusha, turekebishe viongozi wastaafu washtakiwe

    Kabisa 1.ujima (Primitive Communalism) - watu wanazalisha pamoja mashambani na kugawana sawasawa, wengine wachapa kazi wana mashamba pembeni 2. Ukabaila (Feudalism) - Mabwanyenye wenye mashamba pembeni wanayakuza na kuajiri vibarua na kuwanyonya na kutajirika kwa kupata mitaji 3. Ubepari...
  14. Moshi25

    Polepole: Mungu akituvusha, turekebishe viongozi wastaafu washtakiwe

    Hii sheria ni nzuri sana ila ilipaswa kuanza na Rais wa kwanza alieifanya nchi kuwa maskini kwa ujamaa wake ambao hakuulewa kabisa sijui alisomea wapi kisha wenzake waliofuata na kugawa vitalu na makampuni na wengine hadi kujenga mahoteli South Africa, kuifanya hii sheria sasa hivi ni udini ...
Back
Top Bottom