Recent content by mosher

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Power of self confidence, na vingine vingi tembelea blog ya AMKA MTANZANIA
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    Serikali inayoopa maendeleo ya wananchi wake ni dhaifu, hapa ndo naanza kupata picha Kwann Kikwete aliogopa sana lisu kua mbunge alikua tayar kukataa kura za urais ili lisu asishinde,acheni tuambiwe jinc muungano ulivyo wa kulazimisha na wa kimagumashi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada:Vyuo vinavyohitaji Pass 3.

    Nenda N.I.T
  4. M

    JamiiForums Tanzania Warioba Kuchafua hali ya Hewa Bungeni

    Nchi itaangamia atakapoacha kusema,pale anapoweza kusema
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mh. Mwigulu afiwa na Kaka yake

    Muuaji anapofiwa hulia machoz halisi sio bandia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa Mnyika: Kukosa fursa 'nono' kisa hana shahada

    Elimu sio Chet wala Chet sio elimu, bali ni uwezo wa MTU binafsi wa kuusaidia umma,nyerere alikua na degree ngapi Zaid ya maprofessor wa sasa hapa nchini? Je wametumiaje PhD zao kuusaidia umma zaid ya kupiga dili? Acheni kutuaminisha elimu ndo uongozi,ila naamin elimu ni sifa ya nyongeza ktk...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini itakuwa sifa ya kujiunga na a-level na vyuo vingine

    Ni Kwel Kaka ili nijiandae kutafuta chuo tuu mkuu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari tarehe 18 feb, 2014 kujibu kauli za JK

    Dola ya Kikwete au ya kagame? Akitaka kuumbuka aunde tume ya kimahaka aumbuke
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

    Acha kujivua akili alipotolea mfano kijana kumwagiwa tindikali kahama nayo ijibiwe kwa hoja gani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Na alaaniwe atakae jadili hoja hii kwa ushabiki,ushabiki ukizidi huleta upofu na ukiziwi, Tumia akili zako vizur tafakari huyo Kiongoz wa juu kabisa kutoa kauli kama hyo, Inamaana kahalalisha majibizano ya aina yeyote ile bila kuangalia sheria inasemaje, ndugu yangu nchi inaongozwa kwa miiko na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Mawaziri vivuli wa CHADEMA ambao ni good for nothing

    Pamoja na Maelezo yako marefu ambayo naamini c ya Kwel, jaribu kuzitendea haki akili zako kwa kuzifikirisha, Ni waziri kivuli yupi anapewa pesa kwa ajili ya kufuatilia wizara husika?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Tarajia mimba za vigogo kwa hao kina dada
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Enyi bongo movies nani kawaloga?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bunda: Dr. Slaa uso kwa uso na Wassira tarehe 30 Januari, 2014

    Jino kwa jino wasira anataka kupima upepo wa kisiasa ila kakosea angejipima na mm ndo kidogo tungelingana , hapo ni bajaji kujaribu kuigonga scania kwa nyuma, huyo wasira kakataliwa hadi kwenye familia yake
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa harakati hizi za CHADEMA, CCM mjiandae kuwa wapinzani 2015

    Hawana kazi wanasubiri mwisho wa mwezi waka pokee mishahara hewa, mishahara hewa haitaisha mpaka ccm iondoke madarakani coz wahusika ni watoto wa vigogo
Back
Top Bottom