Recent content by Moshe_dayan87

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya kutenganisha kiwanja?

    1. Surrender hati manispaa: andika barua kwa mkurugenzi ya kurudisha hati lengo likiwa ni kutoa fursa ya kugawa kiwanja . Mchakato utaanza hapo manispaa, kwenda kwa kamishna wa ardhi wa mkoa mpaka kwa msajili wa hati wa mkoa ambae atakupa document inaitwa deed of surrender, hapo mchakato wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mali iliyotokana na mgao wa urithi inauzwa?

    Mali ya urithi ukisharithi inakuwa ni personal property haina ubia na mke wala mtoto, hivyo ww ndio mwenye maamuzi ya mwisho. Haihesabiki kama ni matrimonial property kufanya mke na watoto kudai chochote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, kwa hali hii Ardhi yangu imepotea?

    Kama hiyo ardhi haijapimwa unaweza kuclaim adverse possession kwa huo muda wa miaka 14 uliokuwa hapo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua kuhusu hili la RITA anisaidie tafadhali

    Cheti cha kuzaliwa kinatolewa na nchi husika mtoto alipozaliwa, ndio maana kwenye system ya rita hujaona nchi nyingine
Back
Top Bottom